Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
Tuzo zilizoandaliwa na UDBS hizo.
We ulitaka ziandaliwe ya vitivo vyote....hata kama UDBS ndo wameandaa lakini wao hawakuwa na maamuzi ya mwisho, ndio maana imeitwa tuzo ya UDSM sio UDBS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuzo zilizoandaliwa na UDBS hizo.
viziwi wameona..acha abebe zenye heshima kubwa ndo hadhi yake sio vile vimbao vya tuzo za watu, namkubali Sana jamaa
Nipo pande nyeti tu mrembo!
Pm tu!:becky::becky:
sometimes natokelezea kama hivi kuwapa Hi wana!
habari za siku mingi lkn?
Miss you sana wangu..Unajifichaje basi.... Adimu saaana
Mkuu Kidingi, dunia ya leo hiyo dhana ya Kizuri Chajiuza hai-exist at all... hiyo ni dhana ya enzi za akina Nyerere na iliingia kaburini kabla ya akina Nyerere wenyewe hawajaingia Kaburini! Nani asiyefahamu ubora wa simu zinazotengenezwa na Apple? Lakini pamoja na yote hayo Apple wanatumia millions of dollars kufanya promo kwa products zao! Hakuna asiyefahamu ubora wa bidhaa za Samsung lakini Samsung hadi kesho wanatumia millions of dollars kutangaza biadhaa zao! Kama kuna kauli ya Diamond ambayo sitakuja kuisahau ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kwamba "I don't believe in talent...!" na huo ndio ukweli wenyewe! Hii sio dunia ya ku-believe in talent otherwise utaingia kaburini na talent yako ikiwa haijakufanyia chochote!!!Umenena mkuu.. Kizuri chajiuza lakini juhudi muhimu kuongeza ufanisi..
Mkuu Kidingi, dunia ya leo hiyo dhana ya Kizuri Chajiuza hai-exist at all... hiyo ni dhana ya enzi za akina Nyerere na iliingia kaburini kabla ya akina Nyerere wenyewe hawajaingia Kaburini! Nani asiyefahamu ubora wa simu zinazotengenezwa na Apple? Lakini pamoja na yote hayo Apple wanatumia millions of dollars kufanya promo kwa products zao! Hakuna asiyefahamu ubora wa bidhaa za Samsung lakini Samsung hadi kesho wanatumia millions of dollars kutangaza biadhaa zao! Kama kuna kauli ya Diamond ambayo sitakuja kuisahau ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kwamba "I don't believe in talent...!" na huo ndio ukweli wenyewe! Hii sio dunia ya ku-believe in talent otherwise utaingia kaburini na talent yako ikiwa haijakufanyia chochote!!!
Duh! Unachekesha ndugu yangu si kidogo! Yaani kabisa, SERIOUSLY unatarajia chuo kikuu kitoe tuzo kwa kupiga kura kama KTMA? Seriously? Hivi kweli unatarajia UDBS yenye watafiti kibao bado wawe wanatoa tuzo kwa kupitia sanduku la kura badala ya kutumia weledi wao wa kisomi? Hivi pale taasisi kama hizi zinaposema "endapo uchaguzi ungefanyika leo, basi mgombea wa UKAWA au CCM angeshinda Urais" Hivi huwa wanatangaza ili watu wapige kura badala ya wao kufanya survey tu?Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!
Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.
Mkuu Kidingi, dunia ya leo hiyo dhana ya Kizuri Chajiuza hai-exist at all... hiyo ni dhana ya enzi za akina Nyerere na iliingia kaburini kabla ya akina Nyerere wenyewe hawajaingia Kaburini! Nani asiyefahamu ubora wa simu zinazotengenezwa na Apple? Lakini pamoja na yote hayo Apple wanatumia millions of dollars kufanya promo kwa products zao! Hakuna asiyefahamu ubora wa bidhaa za Samsung lakini Samsung hadi kesho wanatumia millions of dollars kutangaza biadhaa zao! Kama kuna kauli ya Diamond ambayo sitakuja kuisahau ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kwamba "I don't believe in talent...!" na huo ndio ukweli wenyewe! Hii sio dunia ya ku-believe in talent otherwise utaingia kaburini na talent yako ikiwa haijakufanyia chochote!!!
Diamond ametoa wimbo mpya pamoja na video kali... Anafahamika kila kona ya East Africa, lakini hii haimzuii kuendelea kujitangaza.. Hapa tunavyozungumza team yake hipo kwenye shughuli moja ya kuitangaza ngoma yake mpya kila kona.. Said Fella anaakikisha Sankoro inapigwa kila kona ya Tanzania.. Salaam anaakikisha wimbo unapenya East Africa kwa sasa yupo Uganda kusukuma wimbo.. Nna uhakika baada ya miezi miwili Africa itakuwa inazungumza story nyingine kuhusu huu wimbo, unaweza kuvunja record ya number 1.
Q Chillah amefanya wimbo mkali, na akafanya video kali sana South Africa kwa gharama kubwa. Video tayari inamuda wa siku kadhaa. Lakini ukitembelea kwenye social networks utaukuta YouTube pekee. Kwenye account zake insta na kwingine hakuna ata sehemu kaonyesha kama ana wimbo mpya.. Ukienda kwenye akaunt ya Adam Juma ukuti tangazo lolote kuonyesha amefanya video hii kali na ipo mtaani tayari. Msanii hana habar na director hana habari.
Mwisho wa siku mpaka sasa wimbo wa Nana sankoro wa Diamond umetazamwa na watu laki 7 na zaidi, wimbo wa Q chila umetazamwa na watu elfu 3 +.
Kesho Q chief atakuja kulalamika analogwa, au menejiment yake iliyomlipia mamilion kufanya video eti inamwangusha, au anaweza kusema wasanii wakongwe hawathaminiwi na visingizio kibao.
Mwisho wa siku acheni Diamond ashindane mwenyewe na kubaki kuwa inspiration kwa wengi. Sababu watu alionao kwenye game hawajielewei wanabaki kulaumu peke yake.
Nipo pande nyeti tu mrembo!
Pm tu!:becky::becky:
sometimes natokelezea kama hivi kuwapa Hi wana!
habari za siku mingi lkn?
Hahaha mkuu umetisha! Team mburulaz wameungana na ma-ex michirizi na vidoti lakini wapi! Jamaa habebeki! Yaan ni mzito kama gunia la chumvi! Kuna mburula moja humu limesema kwanini hawajaambiwa nao mamburulaz wapige kura.. Hahaha kura ya vilaza kwa madokta na maprofesa inaingiaje hapo? Chalii anatisha, yupo level chafu za kina davido, p square, iyanya, Mr. Flavor etc, team mburulaz waendelee na ligi yao ya mchangani..Ila katika watu wa ajabu ni Kiba yaani kuna watu wanampenda na wanataka afanye kitu ila yeye amejikalia tu, wanajitahidi kumpromote kwa kupitia mgongo wa Diamond weeee lakini wapi, jamaa amemute tu!
Ila inawezekana mwenzenu Kibba ameshaona Mond ni kina kirefu haoni ndani!
Mond ni mjanja sana na ni Habari nyingine kabisa yule jamaa! Yuko ligi kuu anashindana na kina Davido, Flavour na wengineo!
Kibba bado yuko ligi daraja la kwanza!
with those lips? oh wow! my weekend will be soo romantic!Ngoja nikufate huko huko kwako!