UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

Hongera sana sana Chibu,,

Kaza buti kijana wetu safari bado ndefu sana,tunao kubali kazi zako tu pamoja nawe.
 
Hii nchi watu wanajiundia tuzo kila siku
 
Diamond ametoa wimbo mpya pamoja na video kali... Anafahamika kila kona ya East Africa, lakini hii haimzuii kuendelea kujitangaza.. Hapa tunavyozungumza team yake hipo kwenye shughuli moja ya kuitangaza ngoma yake mpya kila kona.. Said Fella anaakikisha Sankoro inapigwa kila kona ya Tanzania.. Salaam anaakikisha wimbo unapenya East Africa kwa sasa yupo Uganda kusukuma wimbo.. Nna uhakika baada ya miezi miwili Africa itakuwa inazungumza story nyingine kuhusu huu wimbo, unaweza kuvunja record ya number 1.

Q Chillah amefanya wimbo mkali, na akafanya video kali sana South Africa kwa gharama kubwa. Video tayari inamuda wa siku kadhaa. Lakini ukitembelea kwenye social networks utaukuta YouTube pekee. Kwenye account zake insta na kwingine hakuna ata sehemu kaonyesha kama ana wimbo mpya.. Ukienda kwenye akaunt ya Adam Juma ukuti tangazo lolote kuonyesha amefanya video hii kali na ipo mtaani tayari. Msanii hana habar na director hana habari.

Mwisho wa siku mpaka sasa wimbo wa Nana sankoro wa Diamond umetazamwa na watu laki 7 na zaidi, wimbo wa Q chila umetazamwa na watu elfu 3 +.

Kesho Q chief atakuja kulalamika analogwa, au menejiment yake iliyomlipia mamilion kufanya video eti inamwangusha, au anaweza kusema wasanii wakongwe hawathaminiwi na visingizio kibao.

Mwisho wa siku acheni Diamond ashindane mwenyewe na kubaki kuwa inspiration kwa wengi. Sababu watu alionao kwenye game hawajielewei wanabaki kulaumu peke yake.
Mkuu big up sana ,huu ushauri hata kiba unamhusu.

Wengi wa mashabiki wa Kiba wanamshangilia Kiba kwa sababu wanamchukia Diamond,Lakini ukweli ni kwamba hawamsaidii wanazidi kumdumaza.

Hongera Diamond na Team yake ,aliimba Inspekta Harun "Umaarufu hauji bure bwana bila kuwa bize"
 
Commander matumbo nimependa analysis yako, kwakweli umejenga facts zenye nguvu sana, nashukuru kwa hilo.

Ila bado kilio changu kipo palepale ni kwanini hizi tuzo hazikutangazwa na sisi tu pigie KingKiba, anyway stay blessed for your wisely facts.

Tunzo za heshima hizo, we piga kura kwenye KTMA sio kila kitu ni level yenu.
 
Last edited by a moderator:
Honestly, sijawahi penda nyimbo za huyu, ila nasema toka moyoni napenda mafanikio yake na jinsi anavyo hustle,. HUSTLE…! HUSTLE …! HARD, Kweli hard work pays.
Niseme hivi sinaga kupenda sana hizi team na hizi nyimbo nyimbo za bongofleva ila kijana anapiga kazi fresh anapeperush bendera fresh, hasa tunatakiwa tuwandae watu kama hawa wawe atleast 5, patakuwa onfire nchini hapa.

So kiba mwisho primary na seco, vyuon kila mtu Dai………! ( jus a joke team zote usichukulie silias msemo, usitokwe povu, sikubali timu zote, ila wakina fulani kazeni buti aisee)
 
hahahaha umemalizia vizuri mnooooo
 
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!

Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.

Ulitak achukue kiba nn...
 
Ila katika watu wa ajabu ni Kiba yaani kuna watu wanampenda na wanataka afanye kitu ila yeye amejikalia tu, wanajitahidi kumpromote kwa kupitia mgongo wa Diamond weeee lakini wapi, jamaa amemute tu!
Ila inawezekana mwenzenu Kibba ameshaona Mond ni kina kirefu haoni ndani!
Mond ni mjanja sana na ni Habari nyingine kabisa yule jamaa! Yuko ligi kuu anashindana na kina Davido, Flavour na wengineo!
Kibba bado yuko ligi daraja la kwanza!
Hahaaaa bayaa bana mzee wa ligi daraja la kwanza...anashindana na akin blue si ndioo
 
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!

Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.

Ushaambiwa tuzo ya UDSM, wewe ulifikiri wanafunzi wa UDSM ndo wamepiga kura? Wewe ulitaka kupiga kura kama nani labda
 
Back
Top Bottom