Paula kilaki
JF-Expert Member
- Jun 26, 2014
- 1,909
- 1,290
Na ashukuriwe D kwa kuuleta ufufuo wa K..
Big up platnumz!!!
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!
Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.
Hongera diamond wenye akili pekee ndo tunajua unastahili
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!
Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.
Diamond ametoa wimbo mpya pamoja na video kali... Anafahamika kila kona ya East Africa, lakini hii haimzuii kuendelea kujitangaza.. Hapa tunavyozungumza team yake hipo kwenye shughuli moja ya kuitangaza ngoma yake mpya kila kona.. Said Fella anaakikisha Sankoro inapigwa kila kona ya Tanzania.. Salaam anaakikisha wimbo unapenya East Africa kwa sasa yupo Uganda kusukuma wimbo.. Nna uhakika baada ya miezi miwili Africa itakuwa inazungumza story nyingine kuhusu huu wimbo, unaweza kuvunja record ya number 1.
Q Chillah amefanya wimbo mkali, na akafanya video kali sana South Africa kwa gharama kubwa. Video tayari inamuda wa siku kadhaa. Lakini ukitembelea kwenye social networks utaukuta YouTube pekee. Kwenye account zake insta na kwingine hakuna ata sehemu kaonyesha kama ana wimbo mpya.. Ukienda kwenye akaunt ya Adam Juma ukuti tangazo lolote kuonyesha amefanya video hii kali na ipo mtaani tayari. Msanii hana habar na director hana habari.
Mwisho wa siku mpaka sasa wimbo wa Nana sankoro wa Diamond umetazamwa na watu laki 7 na zaidi, wimbo wa Q chila umetazamwa na watu elfu 3 +.
Kesho Q chief atakuja kulalamika analogwa, au menejiment yake iliyomlipia mamilion kufanya video eti inamwangusha, au anaweza kusema wasanii wakongwe hawathaminiwi na visingizio kibao.
Mwisho wa siku acheni Diamond ashindane mwenyewe na kubaki kuwa inspiration kwa wengi. Sababu watu alionao kwenye game hawajielewei wanabaki kulaumu peke yake.

Umenena mkuu.. Kizuri chajiuza lakini juhudi muhimu kuongeza ufanisi..
mkuu umetisha agiza mchemsho na coke ya jina lako nakuja kulipa
Nani kakwambia hawajapiga kura? waliopiga kura ni madokta na maprof
+Wasomi wenye akili kubwa wameshasema yes hakuna le mburulazz akili ndogo wa kusema no.
+hongera sana Chibu, lazima wakuelewe tu hata km wana vichwa vigumu vipi!
hahaha kwaiyo timu nanii ndo lemburulazzzzz