UDSM: Diamond Platnumz is The Most Inspiring as a Music Icon

Umenena mkuu.. Kizuri chajiuza lakini juhudi muhimu kuongeza ufanisi..
Mkuu Kidingi, dunia ya leo hiyo dhana ya Kizuri Chajiuza hai-exist at all... hiyo ni dhana ya enzi za akina Nyerere na iliingia kaburini kabla ya akina Nyerere wenyewe hawajaingia Kaburini! Nani asiyefahamu ubora wa simu zinazotengenezwa na Apple? Lakini pamoja na yote hayo Apple wanatumia millions of dollars kufanya promo kwa products zao! Hakuna asiyefahamu ubora wa bidhaa za Samsung lakini Samsung hadi kesho wanatumia millions of dollars kutangaza biadhaa zao! Kama kuna kauli ya Diamond ambayo sitakuja kuisahau ni pale alipotamka kwa kujiamini kabisa kwamba "I don't believe in talent...!" na huo ndio ukweli wenyewe! Hii sio dunia ya ku-believe in talent otherwise utaingia kaburini na talent yako ikiwa haijakufanyia chochote!!!
 
Last edited by a moderator:

mkuu vidingi vya zamani unajua havijapitia syllabus za kisasa...!:becky:
Marketing ndio kila kitu siku hizi.
 
Hiki chuo cha UDSM sijui kimeanza kuingiwa na pepo gani!

Alafu hizo tuzo mbona hawakutangaza tupige kura? Hizi tuzo hazina tofauti na tuzo za Hbaba.
Duh! Unachekesha ndugu yangu si kidogo! Yaani kabisa, SERIOUSLY unatarajia chuo kikuu kitoe tuzo kwa kupiga kura kama KTMA? Seriously? Hivi kweli unatarajia UDBS yenye watafiti kibao bado wawe wanatoa tuzo kwa kupitia sanduku la kura badala ya kutumia weledi wao wa kisomi? Hivi pale taasisi kama hizi zinaposema "endapo uchaguzi ungefanyika leo, basi mgombea wa UKAWA au CCM angeshinda Urais" Hivi huwa wanatangaza ili watu wapige kura badala ya wao kufanya survey tu?
 

wewe na matumbo mmetoa somo zuri natamani wasanii wawe wanaingia humu kusoma comment hizi
 
Last edited by a moderator:

nampenda sana AY na anatoa video nzuri lakini kwa promo daiomond kamzidi . Ana cha kujifunza hapa japo alianza kutoka kimataifa kabla ya diamond......Hongera sana dai kwa juhudi zako
 
Zingifuri zingifuri...

Haha nifah atalamba ndimu sana mwaka huuu
 
Last edited by a moderator:
Dah, mpaka maprofesa waliobobea kutoka chuo cha 10 kwa ubora Africa, UDSM, wamemuona huyu jamaa ni kichwa ujue ni kisanga, ikulu nao walimuona ni tunu ya taifa, sasa kwa nini watu wanamfananisha na ally kiba ambae hanaga kitu yoyote?!!
 
Hahaha mkuu umetisha! Team mburulaz wameungana na ma-ex michirizi na vidoti lakini wapi! Jamaa habebeki! Yaan ni mzito kama gunia la chumvi! Kuna mburula moja humu limesema kwanini hawajaambiwa nao mamburulaz wapige kura.. Hahaha kura ya vilaza kwa madokta na maprofesa inaingiaje hapo? Chalii anatisha, yupo level chafu za kina davido, p square, iyanya, Mr. Flavor etc, team mburulaz waendelee na ligi yao ya mchangani..
 
Wanachotaka hawa TeamKibba ni sawa na kusema Simon Msuva ni sawa na C. Ronaldo maana wote ni wafungaji bora teh! teh! teh! Wanashindwa kuelewa kuwa mmoja yuko La Liga na mwingine yuko ligi kuu ya Vodacom!
 
Mnachoshindwa kuelewa ni kuwa hii tuzo sio ya mashabiki ila inaangalia ukweli mambo ya marketing dangote yuko vuzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…