UDSM hakuna vya bure

Acha kufananisha udsm na mambo ya kijinga.
Bro nimesoma Pale. Ni chuo change hadhi yake na kikubwa lakini sio Faculties zote academically ni bora kuliko vyuo vingine.

Nenda tu hata mashule ya secondary utakutana na walimu very Smart na wametoka vyuo local tu. Yaani wamewaacha mbali sana wenzao waliopita UDSM. Nenda kwenye Taasisi au mashirika ulinganishe mtu wa Mzumbe au Tumaini vs UDSM utashika Tama.

UDSM Faculty za Science tu ndio wanastahili heshima kubwa sana. Lakini hizi za Business Administration etc etc wajisifu tu kuwa walisoma chuo kikubwa. Hivyo tu yaani
 
Vyuo vyote nilivyopita mimi, teaching inachangia kati ya asilimia 15-25 kwenye packet yako ya tenure/promotion. Kama UDSM hawafanyi hivyo ni makosa kwa sababu kufundisha ni mojawapo ya jukumu la msingi sana kwa mwalimu wa chuo.
PhD sio kwa walimu wa vyuo tu. Kuna wasomi wana accomplishments nyingi kwenye industry na kwenye technical field wala hawajawahi kufundisha. Kuna research zinafanyika kwenye vituo, mahabara na kwenye projects za makampuni na hivi ndio vinatoa matokeo ya maana zaidi kuliko zinazotoka direct vyuoni
 

Nilidhani kuwa hapa tulikuwa tunazungumzia UDSM...mazingira ya vyuoni tu ndiyo maana nikasema hivyo. Sikujua kama umepanua mawanda ya mjadala mpaka watafiti na wanasayansi walio nje ya akademia. Of course hao hawatakiwi kufundisha na wala hawabanwi na mlolongo wa vyeo kama hawa wanataaluma wanaofundisha vyuoni waliolengwa katika mjadala wa thread hii.

Kama ni hivyo basi uko sahihi [emoji818][emoji818][emoji818]
 
Ni kweli na ambao hawako kwenye academia tafiti zao nyingi zimekuwa na manufaa makubwa kijamii maana nyingi ni direct, tofauti na za academia nizakupandia promotion
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe huyo sundi naye ni mjane wa taifa
 
[emoji23][emoji23] nilikuwa first year bana, licha ya mambo mengine ibada sikosi kabisa,hayo mabash yenye fujo nilikuwa siendi Mimi naona ushamba, huwa napenda sehemu tulivu zenye band huku kukiwa na upepo wa baharini ka slip way, coral reef, na kina sea cliff
 
Usikute linakuita ofisini ili mjadili namna ya kukusaidia anaanza kukusifia kuwa wewe ni mtoto mzuri Sana.
Wapo department college gani hao. Ama ni wa Conass
Ma gwin hao conas wange disco mapema mno, [emoji23][emoji23]hafu usinikumbushe Hawa wachoyo wa marks ukijitahidi sana una b plain
 
Ulikua unakaa mabibo block F? Block la wadangaji wa kishua. Tukiwattonngoza ss tusio na magar mbatuona maboya tu
 
Mimi najua basi aina za magari basi lolote tu lile najua gari, ila hyo gari ilikuwa nzuri
Tulikua tunapishana weekend jogoo Mbezi anadrive mwenyewe. Mm hapo nipo kituoni kusubiria daladala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…