UDSM hakuna vya bure

UDSM hakuna vya bure

Kimsingi UDSM huwa inafanya Mambo kujikuza tu. Wanatengeneza mazingira ya Magumu tofauti na uhalisia. Wakati hakuna utofauti wowote kitaaluma na aliyemaliza Theophile K university au St. Augustine.

Labda Muhimbili, Ardhi na jamaa wa Engineering ndiyo wanahitaji heshima. Hawa wengine sijui Law, BCom, Political Sc, Edu, BA... na science zingine za kinadharia nadharia SIJAONA UTOFAUTI WOWOTE NA GRADUATE WA THEOPHILE KISANGI
 
Acha kufananisha udsm na mambo ya kijinga.
 
Mpuuzi kweli wewe,mwendazake alishaumaliza mwendo ,kapumzika Tena kwa heshima,bado wewe lofa Fulani hata Milo mitatu kwa siku inakupa tabu

Pole Sana,pambana na maisha yako
Asante kwa matusi lakini halifuti ukweli kuwa jamaa alikuwa mshamba, katili na muuaji. Wewe unayekula milo yote utaishi milele, amen
 
Hukumtegaga akategeka ama ulimringia jamani saivi ungekuwa mama wa Taifa ama usingeweza ule ubabe wake
[emoji23][emoji23][emoji23]ungemsogeleaje mkuu, venue niliyokuwa naingia ilikuwa karibu na hyo department, enzi hizo nimeokoka na kumpenda Jesus
 
Wako taasisi mbili, huyo mwingine lilikuwa lichoyo la marks aisee
Usikute linakuita ofisini ili mjadili namna ya kukusaidia anaanza kukusifia kuwa wewe ni mtoto mzuri Sana.
Wapo department college gani hao. Ama ni wa Conass
 
[emoji23][emoji23][emoji23]ungemsogeleaje mkuu, venue niliyokuwa naingia ilikuwa karibu na hyo department, enzi hizo nimeokoka na kumpenda Jesus
Duu ulikuwa unatafuta mchumba Nini Mana mkifika third year or second semester ya second year nadhani vipindi vya dini haukosi na nyumba za ibada zote mjini dar utazijua.
Ingawa first year huwa ni ya kuijua mji like welcome first year,so maisha,mbalamwezi,sea cliff,Serena hotel utazijua zote ama wewe ulizijua ukiwa mdogo. Mana huwa nakuonaga huwa na life na kimamtoni sana.yaani Don't give a damn even a shit to some fucking shit stuffs ndo huwa nachokuwa nakubali Sana.
 
Jamani, kama hamna data; acheni kuandika uongo. Magu hakupata PhD akiwa Rais. Katafute kitabu cha Graduands wa UDSM wa 2009, Kama unataka kujua Magu alipata PhD lini. Nenda katafute, nimekurahisishia kazi.
Hata sitafuti, simpendagi tu.
 
Enzi nikiwa undergraduate nilikuwaga namuona jiwe department ya chemistry alikuwaga anaenda na BMW nyeusi
Atakuwa alikuwa anafanya mademu, hata sisi wakati tunakaa mabibo miaka ya 2001-2005 alikuwa anakuja block A kumfata Sundi aliyekuwa rafiki wa mwanae na akaamua kuzaa nae kipindi alikuwa Waziri wa Ardhi .

Hata mie saa hii huwa naenda tu chuo napaki gari natongoza mademu sio ishu. Anyway simpendagi tu Wala usihangaike nami.
 
Back
Top Bottom