Udsm hali inazidi kuwa tete!!

Udsm hali inazidi kuwa tete!!

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
-Ni baada ya wanafunzi waliokamatwa katika maandamano kuwa suspended
9 kati ya hao wamekuwa suspended miezi nane.
23 kati ya hao, ambao wana kesi mahakamani kusimamishwa mpaka kesi zao zifutwe.

BOOM BOOM BOOM:
-Boom lacheleweshwa, ni baada ya kupata tarehe 8/12/2011 kwa mjibu wa ratiba ya Bodi ya Mikopo, mpaka sasa kupo kimya, hali si shwari, ile formula ya mlo kwa siku 001,011,100 na 010 imeshika chati.
-Wengine washindia mikate na mihogo ya Kariakoo(Kijisoko cha hapa Udsm)
NINI HATIMA KUFIKIA JUMATATU KUHUSU BODI NA WANACHUO?
NINI HATIMA YA WENZETU HAWA WALIOFUKUZWA?
>KUNA KILA DALILI JUMATATU "KUNJI" ALIMAARUFU KWA JINA LA ROOT KUWEPO.
Wadau wa Jf hayo ndo yanayoendelea hapa UDSM, Kwa habari zaidi tuonane mda wowote pindi lolote litakalotokea.

Nikiripoti kutoka hapa UDSM mimi ni BAMPAMI wa Jffffff!!
 
kunji/route ni mgomo
 
Watu wamefulia,kias kwamba ukiwa na buku 2 unang'oa demu cku nzima..
 
Poleni sana mi nikiwa hapo chuo kifungwa mara mbili tukaa nyumbani hadi tukachoka,kweli bila hela ni mbaya,hivi ile system ya kuweka bili kwa bwashee coet na ile cafteria bado ipo?nafikiri wa2 wajienrol ili walao chakula kiwe cha uhakika,
 
Mkuu, hii system ilitusevu sana Pale FOE.Sijui inaendelea au la.Ila unafanya unaendelea kula wali kuku hata kipindi ambacho wenzako wamechoka.
 
Kama napiga kunji napiga kimpango wangu na nikilost kivyangu-Sugu(DSM)
 
Nyie mmechanganyikiwa. Hivi huwa mnasoma saa ngapi?
 
TUMETHUBUTU, TUMEHARIBU, NA TUNAZIDI KUNING'INIA............SOON 2TAANGUKA! JE WE WADHAN 2TAFIKA? lyf without boom kwa mtoto wa mkulima ni ovyo!
 
Back
Top Bottom