bampami
JF-Expert Member
- Nov 5, 2011
- 5,699
- 4,117
-Ni baada ya wanafunzi waliokamatwa katika maandamano kuwa suspended
9 kati ya hao wamekuwa suspended miezi nane.
23 kati ya hao, ambao wana kesi mahakamani kusimamishwa mpaka kesi zao zifutwe.
BOOM BOOM BOOM:
-Boom lacheleweshwa, ni baada ya kupata tarehe 8/12/2011 kwa mjibu wa ratiba ya Bodi ya Mikopo, mpaka sasa kupo kimya, hali si shwari, ile formula ya mlo kwa siku 001,011,100 na 010 imeshika chati.
-Wengine washindia mikate na mihogo ya Kariakoo(Kijisoko cha hapa Udsm)
NINI HATIMA KUFIKIA JUMATATU KUHUSU BODI NA WANACHUO?
NINI HATIMA YA WENZETU HAWA WALIOFUKUZWA?
>KUNA KILA DALILI JUMATATU "KUNJI" ALIMAARUFU KWA JINA LA ROOT KUWEPO.
Wadau wa Jf hayo ndo yanayoendelea hapa UDSM, Kwa habari zaidi tuonane mda wowote pindi lolote litakalotokea.
Nikiripoti kutoka hapa UDSM mimi ni BAMPAMI wa Jffffff!!