UDSM: Hostels vs Kupanga Gheto

JambaziSugu

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
245
Reaction score
210
Habari wakuu. Nimechaguliwa kupiga kitabu COICT pale. Napata wakati mgumu kuelewa mahali gani patanifaa kati ya university hostels na kupanga geto. Hii inakuja kutokana na kwamba bado sijajua mazingira ya hostels hizo. Labda kama naamua kukaa hostel, ningependa kufahamu room moja mnaweza kukaa watu wangapi, privacy ikoje mfano unaweka furniture, changamoto na maisha kiujumla ukicompare na kupanga geto. Sijawahi kabisa kusoma boarding school wala kukaa hostel hivyo sina experience yoyote. Kwa yeyote kwenye experience anaweza nisaidia kimawazo. Nawasilisha.
 

Kwa vile firt year wote hapa udsm wanapata vyumba na kuanzia second hawapati,basi nakushauri ukae hostel na miaka itakayofata utakaa geto.
 
usiwe na papara bwa mdogo ukikaa hata wiki moja maswal yako yote yatajijibu
 
kwa mazingira ya ud yalivyo..u better ukaishi gheto tu.
 

kwani ww ni she or he. ni vyema ukaa geto ili wahanga tupate rum ya kununua!
 
Kaa hostel usome vizur mtaani changamoto nyingi sana ikiwamo kukatika umeme ovyoovyo wakati una paper kesho yake
 
Mkuu mi mwenyewe nimepangiwa udsm, plz ntumie sms kwenye 07666800488 ili tujuane. Orientation inaanza lin mzee
 
Mkuu mi mwenyewe nimepangiwa udsm, plz ntumie sms kwenye 07666800488 ili tujuane. Orientation inaanza lin mzee

Kama unataka kumtumia mtu namba ni bora ukatumia pm na sio hapa. Kuwa makini kijana huu mtandao wengi wanaingia
 
Ukiwa first year hosyel iwe mabibo au kampasi kukaa ni vzuri kwanza kuzoea na ku interact na wenzako mana kuna ugeni mwaka wa pili pata kufaa kujiandaa na kukaa mtaani
 
Mkuu mi mwenyewe nimepangiwa udsm, plz ntumie sms kwenye 07666800488 ili tujuane. Orientation inaanza lin mzee

Pa1 mkuu.. Orientation itaanza jumatatu ya tarehe 13. Mbona namba zimezidi mkuu. Nimeshindwa kukupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…