JambaziSugu
JF-Expert Member
- Mar 28, 2012
- 245
- 210
Habari wakuu. Nimechaguliwa kupiga kitabu COICT pale. Napata wakati mgumu kuelewa mahali gani patanifaa kati ya university hostels na kupanga geto. Hii inakuja kutokana na kwamba bado sijajua mazingira ya hostels hizo. Labda kama naamua kukaa hostel, ningependa kufahamu room moja mnaweza kukaa watu wangapi, privacy ikoje mfano unaweka furniture, changamoto na maisha kiujumla ukicompare na kupanga geto. Sijawahi kabisa kusoma boarding school wala kukaa hostel hivyo sina experience yoyote. Kwa yeyote kwenye experience anaweza nisaidia kimawazo. Nawasilisha.