Udsm joining instruction plus admission letter

Mapambano kag

Senior Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
117
Reaction score
26
Wadau naomba kuuliza kama udsm watatoa ktk web yao au ndo mpaka chuoni pia naomba mnisaidie kuhusu direct cost kwa wanaofahamu,natanguliza shukrani kwenu wakuu
 
kweli wanajamvi tupate icho kitu make wa mikoani tupate info
 
Wadau naomba kuuliza kama udsm watatoa ktk web yao au ndo mpaka chuoni pia naomba mnisaidie kuhusu direct cost kwa wanaofahamu,natanguliza shukrani kwenu wakuu

Kuna baadhi ya instruction lazima zitatolewa kwenye website mf. Fee structure na nyingine... Nakumbuka mwaka jana zlitolewa sept 25 hv! Admission letter haiwezi kutolewa kwenye website ya chuo utaipata chuo pale pale mtapo anza orientation kwani ndo utambulisho wako namba moja..na ndio inakua na admission number ambayo utai2mia sehemu karibu zote kama mbadala wa jina lako... Direct cost zinalipwa na kila m2 haijalishi ana mkopo au la! Lakn pia zitawekwa kwenye website! Na direct cost zinajumuisha 1. Examination fee 2. Identity card fee 3.registration fee.. 4.student union fee 5.medical capitation fee....mwaka jana jumla ilikua 77400! Na hulipwa mara moja kwa kila academic year....
 
shukran sana mkuu,hivi pesa ya room haiusiani na direct cost?
 
Nyie madogo wa mwaka huu wachoyo sana,mbona hamtaki ku2beba aisee?au mnadhani hzo rum mtaishi milele?
 
ucjali! Accmdtn fee inategemea wapi uliko pangiwa.,kwa mabibo hua ni ndogo ukilinganisha na main campus..kwa mfano mwaka jana mabibo ilikua 500 per day ko kwa semistr ilikua kama elfu sabini na...kwa campus ilikua 800 per day na jumla ikawa kama laki moja elfu na...ila semister ya pili hua znapungua na nilazima zipungue mfano mabbo smstr ya pili ilikua kama elfu hamsini na tisa na campus ilikua kama elfu tisini na tano hv.....kuhusu ulipaji sio lazima ulipe siku unayofika kwani huwa kuna kipindi cha usajili mfano mwaka jana kipindi cha usajili kilikua kuanzia tar 1 oct mpaka 19 oct.... Japo kwa chuo aixee usajili ni kama hua hauna mwisho na unaweza lipa ada wakati wowote sema utata unakuja pale test zinapoanza aixee hapo no way unatakiwa uwe na kitambulisho na huwezi pata kitambulisho mpaka uwe ushalipa malipo yote.... Ila in general unaweza usilipe kwa mda ka wa wiki saba ina depend test mtaanza kufanya lini...chuo mkuu hakuna m2 atakaye kuja darasani kukufukuza ada! Huwa 2na onana nao kipindi cha mitihani na huwa wanakua wachungu kinoma.....kama una swali we uliza 2!
 
Samahani mkuu,hivi hakuna njia ya kupata admission latter mapema au document yyote ambayo itanijuza jinsi ya kulipa?coz nna mdhamini anataka nimpelekee mapema,natanguliza shukrani kwa kutusaidia
 
aise jamani samahani kwa kuulizeni tena, hivi je hizo admission letters zimeshaaanza kutoka udsm au mpaka siku ya orientation tuttazipata??????????????? na je, kuna malipo yeyote ya awali kabla orientation tunayotakiwa kuzi lipia?????????????????????????????
 
Nyie madogo wa mwaka huu wachoyo sana,mbona hamtaki ku2beba aisee?au mnadhani hzo rum mtaishi milele?

Sio kweli Perry labda hujaamua kumpata mtu wa kukubeba...
sisi wote ni wanaume na tunajua maisha ni mapambano na hauwezi kuyashinda hayo mapambano bila ushirikiano
Mimi nimepata mtu wa kumbeba 3rd year tena humuhumu jf...
Komaa humu humu jf naamini huwezi kosa mtu
 
Last edited by a moderator:
ucjali! Accmdtn fee inategemea wapi uliko pangiwa.,kwa mabibo hua ni ndogo ukilinganisha na main campus..kwa mfano mwaka jana mabibo ilikua 500 per day ko kwa semistr ilikua kama elfu sabini na...kwa campus ilikua 800 per day na jumla ikawa kama laki moja elfu na...ila semister ya pili hua znapungua na nilazima zipungue mfano mabbo smstr ya pili ilikua kama elfu hamsini na tisa na campus ilikua kama elfu tisini na tano hv.....kuhusu ulipaji sio lazima ulipe siku unayofika kwani huwa kuna kipindi cha usajili mfano mwaka jana kipindi cha usajili kilikua kuanzia tar 1 oct mpaka 19 oct.... Japo kwa chuo aixee usajili ni kama hua hauna mwisho na unaweza lipa ada wakati wowote sema utata unakuja pale test zinapoanza aixee hapo no way unatakiwa uwe na kitambulisho na huwezi pata kitambulisho mpaka uwe ushalipa malipo yote.... Ila in general unaweza usilipe kwa mda ka wa wiki saba ina depend test mtaanza kufanya lini...chuo mkuu hakuna m2 atakaye kuja darasani kukufukuza ada! Huwa 2na onana nao kipindi cha mitihani na huwa wanakua wachungu kinoma.....kama una swali we uliza 2!

kaka nashkru sana kwakwel najiskia amani sana na furaha kuwa na watu wenye upendo na hekima kama ww brother i'm proud to be among udsm students, Mungu awajalie wote wenye moyo kama wewe
 
ucjali! Accmdtn fee inategemea wapi uliko pangiwa.,kwa mabibo hua ni ndogo ukilinganisha na main campus..kwa mfano mwaka jana mabibo ilikua 500 per day ko kwa semistr ilikua kama elfu sabini na...kwa campus ilikua 800 per day na jumla ikawa kama laki moja elfu na...ila semister ya pili hua znapungua na nilazima zipungue mfano mabbo smstr ya pili ilikua kama elfu hamsini na tisa na campus ilikua kama elfu tisini na tano hv.....kuhusu ulipaji sio lazima ulipe siku unayofika kwani huwa kuna kipindi cha usajili mfano mwaka jana kipindi cha usajili kilikua kuanzia tar 1 oct mpaka 19 oct.... Japo kwa chuo aixee usajili ni kama hua hauna mwisho na unaweza lipa ada wakati wowote sema utata unakuja pale test zinapoanza aixee hapo no way unatakiwa uwe na kitambulisho na huwezi pata kitambulisho mpaka uwe ushalipa malipo yote.... Ila in general unaweza usilipe kwa mda ka wa wiki saba ina depend test mtaanza kufanya lini...chuo mkuu hakuna m2 atakaye kuja darasani kukufukuza ada! Huwa 2na onana nao kipindi cha mitihani na huwa wanakua wachungu kinoma.....kama una swali we uliza 2!

kaka je kama nikiripot na chet cha kuzaliwa,academic cert ya form ìv bt nikawa sina result slip ya form six ,hyo inaweza ikasababisha usisajiliwe chuon? Maana wengne shule tulizosomea advance ziko mbali na nyumban
 
kwel maana wngne tupo mbal
 
Back
Top Bottom