Mapambano kag
Senior Member
- Aug 29, 2013
- 117
- 26
Wadau naomba kuuliza kama udsm watatoa ktk web yao au ndo mpaka chuoni pia naomba mnisaidie kuhusu direct cost kwa wanaofahamu,natanguliza shukrani kwenu wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadau naomba kuuliza kama udsm watatoa ktk web yao au ndo mpaka chuoni pia naomba mnisaidie kuhusu direct cost kwa wanaofahamu,natanguliza shukrani kwenu wakuu
SAMORE TOURE tupo pamoja,tunashukuru sana kwa hayo maelezo
Kuna baadhi ya instruction lazima zitatolewa kwenye website mf. Fee structure na nyingine... Nakumbuka mwaka jana zlitolewa sept 25 hv! Admission letter haiwezi kutolewa kwenye website ya chuo utaipata chuo pale pale mtapo anza orientation kwani ndo utambulisho wako namba moja..na ndio inakua na admission number ambayo utai2mia sehemu karibu zote kama mbadala wa jina lako... Direct cost zinalipwa na kila m2 haijalishi ana mkopo au la! Lakn pia zitawekwa kwenye website! Na direct cost zinajumuisha 1. Examination fee 2. Identity card fee 3.registration fee.. 4.student union fee 5.medical capitation fee....mwaka jana jumla ilikua 77400! Na hulipwa mara moja kwa kila academic year....
shukran sana mkuu,hivi pesa ya room haiusiani na direct cost?
No no haihusiani kabisa...mambo ya rum ni ACCOMODATION FEE
Nyie madogo wa mwaka huu wachoyo sana,mbona hamtaki ku2beba aisee?au mnadhani hzo rum mtaishi milele?
ucjali! Accmdtn fee inategemea wapi uliko pangiwa.,kwa mabibo hua ni ndogo ukilinganisha na main campus..kwa mfano mwaka jana mabibo ilikua 500 per day ko kwa semistr ilikua kama elfu sabini na...kwa campus ilikua 800 per day na jumla ikawa kama laki moja elfu na...ila semister ya pili hua znapungua na nilazima zipungue mfano mabbo smstr ya pili ilikua kama elfu hamsini na tisa na campus ilikua kama elfu tisini na tano hv.....kuhusu ulipaji sio lazima ulipe siku unayofika kwani huwa kuna kipindi cha usajili mfano mwaka jana kipindi cha usajili kilikua kuanzia tar 1 oct mpaka 19 oct.... Japo kwa chuo aixee usajili ni kama hua hauna mwisho na unaweza lipa ada wakati wowote sema utata unakuja pale test zinapoanza aixee hapo no way unatakiwa uwe na kitambulisho na huwezi pata kitambulisho mpaka uwe ushalipa malipo yote.... Ila in general unaweza usilipe kwa mda ka wa wiki saba ina depend test mtaanza kufanya lini...chuo mkuu hakuna m2 atakaye kuja darasani kukufukuza ada! Huwa 2na onana nao kipindi cha mitihani na huwa wanakua wachungu kinoma.....kama una swali we uliza 2!

kaka je kama nikiripot na chet cha kuzaliwa,academic cert ya form ìv bt nikawa sina result slip ya form six ,hyo inaweza ikasababisha usisajiliwe chuon? Maana wengne shule tulizosomea advance ziko mbali na nyumban