Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
- Thread starter
- #41
Hongera Sana. Tukutane KiliMarathon 2021.Medali hazina ubora kabisa... But I complete 21.1km na pace ya 4.4View attachment 1651085
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Sana. Tukutane KiliMarathon 2021.Medali hazina ubora kabisa... But I complete 21.1km na pace ya 4.4View attachment 1651085
Asante mkuu.. Yes Tukutane kilimarathonHongera Sana. Tukutane KiliMarathon 2021.
Ulichangia Bei gani?Mbona UDSM hamsemi mlipata Tsh ngapi kwenye hii event?
30,000Ulichangia Bei gani?
Niice30,000
Ni mwendo wa kumchukua contacts. Tukutane sokoniUDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi.
1. Usalama wa washiriki barabarani haukuzingatiwa (magari yaliendelea kupita wakati marathon inaendelea).
2. Hakukuwa na MC mahsusi wa shughuli nzima, zaidi wale wa kujitolea,
3. Finish line ilikua na watu kibao wanaselfika wakati marathoners wanarudi (ngumu kutambua mshindi halisi).
4. Medali hazina ubora kabisa (chuma lililoveshwa kamba).
Sijaona Mzigua90 maana hizo ndizo zakeNi mwendo wa kumchukua contacts. Tukutane sokoni
Sahihi kabisa kama una mpenzi wako anapenda kwenda marathon kuwa makini sanaMarathon siku hizi ni dili.