UDSM Marathon hiyo Kwio!

UDSM Marathon hiyo Kwio!

IMG_4127.jpg
 
UDSM hakika mmejitahid kuandaa marathon matata nchini. Kongole. Ila mnabidi mwakani mjipange zaidi.
1. Usalama wa washiriki barabarani haukuzingatiwa (magari yaliendelea kupita wakati marathon inaendelea).
2. Hakukuwa na MC mahsusi wa shughuli nzima, zaidi wale wa kujitolea,
3. Finish line ilikua na watu kibao wanaselfika wakati marathoners wanarudi (ngumu kutambua mshindi halisi).
4. Medali hazina ubora kabisa (chuma lililoveshwa kamba).
Ni mwendo wa kumchukua contacts. Tukutane sokoni
 
Back
Top Bottom