mzee wa wazee
Member
- Nov 1, 2010
- 70
- 18
Ndugu wana JF, UDSM nao wameanza mgomo, kwa sasa wako utawala wakitukana, wamemaliza kuimba wimbo wa Taifa na kuelekea Nkrumah hall
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nanukuu " MIGOMO INAYOENDELEA NCHINI INAONGOZWA NA KUCHOCHEWA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUTIMIZA MALENGO YAO KITAIFA" Haya kayasema naibu katibu propaganda wa ccm Tambwe Hiza asubuh ya leo chanel 10

:smile-big:
Awali migomo ilikuwa usingizini maana tuliionea huruma serikali yetu kwa kuwa haina fedha.
Ni kama mtoto anaetaka kiatu cha nyongeza kisha baba akamwambia sina pesa mwanangu na nikisema ninunue tutakufa njaa au ikitokea ukiumwa utakosa tiba maana fedha sina na matokeo yake utakufa na kiatu hutavaa. Mara mtoto anamuona baba kanunua TV ya pili ya nyongeza ili akae chumbani aangalie na mkewe tu. hakika watoto watakuwa machizi
Kwa kuweza kuilipa DOwans tena kwa msisitizo mkuu, nani utamwambia leo huna fedha?...Acha watu wagome wadai haki zao.
GOMENI MWAYA, SERIKALI INAYO FEDHA NA INACHOFANYA SASA NI "KUTINGISHA KIBIRITI" TU. Kitingisheni na nyie
Chadema kweli ipo juu si ajabu hata watumishi wa ikulu wakigoma akiwemo rais itakuwa imesababishwa na CHADEMA