UDSM Mgomo wa wanafunzi waanza nao

UDSM Mgomo wa wanafunzi waanza nao

mzee wa wazee

Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
70
Reaction score
18
Ndugu wana JF, UDSM nao wameanza mgomo, kwa sasa wako utawala wakitukana, wamemaliza kuimba wimbo wa Taifa na kuelekea Nkrumah hall
 
nanukuu " MIGOMO INAYOENDELEA NCHINI INAONGOZWA NA KUCHOCHEWA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUTIMIZA MALENGO YAO KITAIFA" Haya kayasema naibu katibu propaganda wa ccm Tambwe Hiza asubuh ya leo chanel 10
 
nanukuu " MIGOMO INAYOENDELEA NCHINI INAONGOZWA NA KUCHOCHEWA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUTIMIZA MALENGO YAO KITAIFA" Haya kayasema naibu katibu propaganda wa ccm Tambwe Hiza asubuh ya leo chanel 10

idiot mind
 
Watatue matatizo ya wananchi na si propaganda kama wanavyfanya sasa. Issue hapa ni watu kuelewa haki zao.
 
Kazi sana maana kila sehemu wafanye haki na wawasikilize wanafunzi hawa
 
nanukuu " MIGOMO INAYOENDELEA NCHINI INAONGOZWA NA KUCHOCHEWA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUTIMIZA MALENGO YAO KITAIFA" Haya kayasema naibu katibu propaganda wa ccm Tambwe Hiza asubuh ya leo chanel 10

hana jipya huyu.yeye ni robot tu ambae kashikiwa akili
 
thanzania haki haipatikani bila kugoma
 
:smile-big:
Awali migomo ilikuwa usingizini maana tuliionea huruma serikali yetu kwa kuwa haina fedha.

Ni kama mtoto anaetaka kiatu cha nyongeza kisha baba akamwambia sina pesa mwanangu na nikisema ninunue tutakufa njaa au ikitokea ukiumwa utakosa tiba maana fedha sina na matokeo yake utakufa na kiatu hutavaa. Mara mtoto anamuona baba kanunua TV ya pili ya nyongeza ili akae chumbani aangalie na mkewe tu. hakika watoto watakuwa machizi

Kwa kuweza kuilipa DOwans tena kwa msisitizo mkuu, nani utamwambia leo huna fedha?...Acha watu wagome wadai haki zao.

GOMENI MWAYA, SERIKALI INAYO FEDHA NA INACHOFANYA SASA NI "KUTINGISHA KIBIRITI" TU. Kitingisheni na nyie
 
nanukuu " MIGOMO INAYOENDELEA NCHINI INAONGOZWA NA KUCHOCHEWA NA VIONGOZI WA CHADEMA KUTIMIZA MALENGO YAO KITAIFA" Haya kayasema naibu katibu propaganda wa ccm Tambwe Hiza asubuh ya leo chanel 10

Siku zote ukiwa unazima moto kama serikali ya Tanzania utakuwa unatafuta watu wa kuwatupia lawama juu ya yale yanayokupata.
Serikali wajipange na wajue kufikiria na kuplan mambo kabla hayajatokea na si kufanya mambo ili wapate ya kusema kwenye majukwaa ya kisiasa, ni vyuoni kuna matatizo lukuki ambayo hayahitaji Chadema kuchochea ili watu wagome.
Wamemaliza pesa kwenye kampeni na bado zingine wanajilipa kupitia utaratibu wa MALIPO wa Dowans, hivyo mambo yataendelea kuwa magumu na miomo itaendelea kila sekta.
 
mi naona hata nchi nzima ikigoma ni sawa maana serikali imetuchosha na ubabaishaji wao
 
Naombeni msaada namna ya kutengeneza BOMU, nataka niweke na goroli na misumali ya viatu. Mwenye ujuzi tafadhali linatengenezwaje!
 
Safi sana wanataaluma wetu,mpaka kieleweke...ila bado nalia na TUCTA,kwa nini hawabadilishi strategy tumfunze adabu huyu mkwere?
 
Tabwe hiza na kina Kishongo na Zombe watasema mkono wa CDM huo,
Makamba na wafuasi wake humu JF akina Kadogoo watasema ni Maaskofu hawa, kaazi kweli kweli.
 
ndio nyie ndo chuo kikuu cha tanzania and always changes in high institutions are from u afu kesho is holday ko siku ya leo itafutwa then mkipachimba tena alh na ijumaa weekend inafuta kufikia j3 then mnapose ili msijemkaondolewa. we are together from muhas
 
Siku zote Serikali imekuwa haikosi visingizio,watu wakidai haki zao taratibu wanaambiwa subirini kwanza mpaka bajeti itakapopita,NA WAKIDAI KWA MGOMO polisi wanatumwa kuwazuia na mpaka kuwaua,WAKISHAONA WATU WAMEUMIA NA KUFA,ndipo serikali huomba wakae meza moja wajadiriane kupata ufumbuzi wa tatizo,SWALI LANGU, JE UFUMBUZI WA KUKAAA MEZA MOJA HAUWEZI KUFANYIKA MPAKA MADHARA YATOKEE KWANZA. ushauri wangu kwa Umma jamani umefika wakati wakukataa kuongozwa kiolela kila mtu ajue haki yake na wajibu wake pale alipo
 
Chadema kweli ipo juu si ajabu hata watumishi wa ikulu wakigoma akiwemo rais itakuwa imesababishwa na CHADEMA
 
:smile-big:
Awali migomo ilikuwa usingizini maana tuliionea huruma serikali yetu kwa kuwa haina fedha.

Ni kama mtoto anaetaka kiatu cha nyongeza kisha baba akamwambia sina pesa mwanangu na nikisema ninunue tutakufa njaa au ikitokea ukiumwa utakosa tiba maana fedha sina na matokeo yake utakufa na kiatu hutavaa. Mara mtoto anamuona baba kanunua TV ya pili ya nyongeza ili akae chumbani aangalie na mkewe tu. hakika watoto watakuwa machizi

Kwa kuweza kuilipa DOwans tena kwa msisitizo mkuu, nani utamwambia leo huna fedha?...Acha watu wagome wadai haki zao.

GOMENI MWAYA, SERIKALI INAYO FEDHA NA INACHOFANYA SASA NI "KUTINGISHA KIBIRITI" TU. Kitingisheni na nyie

ah,kweli!nimeshuhudia migomo minne ambayo yote imeleta tija,WAGOME 2,KWA ARI,NGUU+KASI ZAID
 
Chadema kweli ipo juu si ajabu hata watumishi wa ikulu wakigoma akiwemo rais itakuwa imesababishwa na CHADEMA

Hongera UDSM hasa coet maana hivi karibuni nilikutana na anayejiita raisi wa daruso nilipomuuliza kwa nini hamjapinga kufanya mahafari Mlimani City,yeye alifoka na kuonyesha kuwa sijasoma na sielewi. Eti huu ndo wakati wa mabadiliko na kufanya sherehe Mlimani City ni kitendo anachosupport sana.
Nilimshangaa sana na enzi zangu usiku huo angekula bakora na kesho yake petition na kumng'oa mara moja. Hajui anachofanya na nini maana ya DARUSO.
CHA KUFANYA
1.Ng'oa huyo anayejiita Rais, maana atawasaliti tu.
2.Coet au viongozi wa college nyingine wape madaraka
3.Piga jaramba kidogo na mara hii muitumie dunia nzima picha harisi ya hapo Udsm kwenye mitandao, kuanzia madarasa, mnakolala, usafiri, na Maisha aliyonayo Prof.Kyoma Mkandara{ hekalu zake hapo mjini}
 
yap,mpaka kieleweke,maana haki ya mnyonge haitolewe na mkandamizaji ila inadaiwa na mnyonge mwenyewe!
 
Back
Top Bottom