Eeh Mungu nisaidie,hii safari yangu ni ndefu sana...
Yaani cheti nakisotea kwa jasho langu,alafu nikikihitaji,naambulia fedheha....
sio siri mabadiliko yanahitajika mi nilienda na kuwauliza kuwa huu ucheleweshaji si unatokea kila mwaka na usumbufu si mnaupata nyinyi watu wa examination unit sasa kwanini msiongee na uongozi wa juu huu utaratibu ukabadilika alicho nijibu kuwa eti kuna 'suggestions box' hapo nje kama vipi niandike nitumbukize hivi kweli huyu mtu yuko serious kweli? mwengine akaniambia kama vipi pia niandike barua ya malalamiko nitumie kwenye huo uongozi wa juu ninaosema ni kitu cha kustaajabisha sanaNakwambia we acha tu, kuna mwaka flani nilimsindikiza rafiki yangu kwenda kuchukua cheti chake. Bwana wee! Tulifanya mizunguko siku nzima bila mafanikio hadi siku ya pili ndipo tukafanikiwa tena kwa mbinde sana.
Kwa kifupi examination unit walituelekeza twende finance. Kufika kule muhasibu akatuambia twende baadaye kwa kua alikua anapata kifungua kinywa.
Baadaye tulirudi kwake tena ila akatwambia twende tena kesho yake maana kwa muda ule alidai alikuwa anajisikia vibaya kiafya.
Tulienda tena siku iliyofuata lakini tulizungushwa sana hadi kukata tamaa ila tulifanikiwa baadaye mida ya saa kumi.
Kwa ujumla kuna mizunguko na nyodo sana ktk ofisi za chuo. Cha kushangaza rafiki yangu alisema huo ulikua mwaka wa pili toka ahitim elimu yake pale chuoni ila alisema kua utaratibu wa kupata cheti kwa udsm ni mwaka mmoja toka kuhitim.
Mabadiliko yanahitajika.
sio siri mabadiliko yanahitajika mi nilienda na kuwauliza kuwa huu ucheleweshaji si unatokea kila mwaka na usumbufu si mnaupata nyinyi watu wa examination unit sasa kwanini msiongee na uongozi wa juu huu utaratibu ukabadilika alicho nijibu kuwa eti kuna 'suggestions box' hapo nje kama vipi niandike nitumbukize hivi kweli huyu mtu yuko serious kweli? mwengine akaniambia kama vipi pia niandike barua ya malalamiko nitumie kwenye huo uongozi wa juu ninaosema ni kitu cha kustaajabisha sana