UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

Hii nayo ni sifa? Mbona kinaongoza kwa kila kitu tajeni sifa zote
 
Kwenye vyuo bora700 duniani hakimo Kenyatta kipo namba 501

Chuo cha hovyo

USSR
 
Hilo halina ubishi, hicho ndiyo huwa selection ya kwanza kwa kila mhitimu wa A-level ila wanapokataliwa ndiyo huwa wanageuka wapinzani. Udsm ndiyo chuo bora Tanzania
Bora sasahivi kuna vyuo vikuu vingi tz maana enzi ya vyuo vichache kila fisadi linaloipiga tz limesoma ud now vyuo vingine vitatoa mafisadi pia
 
Haya mahubiri hamishia jukwaa la dini huku umepotea mkuu
 
Kijana wa bi Hellen White [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]hivi majalalani yuko wapi nowadays??
😂😂😂 Mzee wa praise & worship Hasikiki kabisa nowdays aisee sijui kapatwa na nini.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mzee wa praise & worship Hasikiki kabisa nowdays aisee sijui kapatwa na nini.
Yule jamaa ndiyo amechangia Sana kuichafua UDSM yaani senior lecture anautangazia ulimwengu kuwa UDSM NI JALALANI KWELI??
 
Cha ajabu wahitimu wa hicho chuo mtaan na kazini tulionao ni mabogasi sio kidogo hata kuandika baruanya kikazi wanambwela. Kuandika research pepa ndo wanazingua.
 
UNESCO inadai wahitimu wetu hawatoshelezi mahitaji ya soko kitaaluma, wako chini ya viwango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…