Bwana Yesu Kristo alizaliwa during the Feast of Tabernacles.
Hii ni hakika na kweli kabisa kabisa.
The biblical Feast of Tabernacles starts from the 15th day of the biblical seventh month, and ends on the 22nd day of the same biblical seventh month.
This period falls between mid September and late October in our present day calendar.
Follow hii link inaelezea precisely:
What day was Jesus born?
Kwa mwaka huu, the Feast of Tabernacles ina anza baada ya jua kuzama on the 20th of September 2021, na ina isha jua likizama on the 28th of September 2021.
Tutakiane kumbukumbu nzuri na sahihi ya kuzaliwa kwa Bwana Yesu Kristo.
Tukumbuke kuwa atakapo rudi mara ya pili, atarudi during the Feast of Tabernacles.
Hatujui atarudi mwaka gani, so hatujui itakuwa Feast of Tabernacles ya mwaka upi, na kwa hivyo pia hatujui itakuwa siku gani na saa gani.
Kuna kitu kingine nimeona.
Kitabu cha Numbers (Hesabu) 28 and 29, kinaonyesha kwamba The Feast of Tabernacles ilikuwa na sadaka nyingi za kuteketeza kuliko annual biblical feasts nyingine.