UDSM ndiyo chuo pekee Tanzania kati ya vyuo vikuu 50 vinavyoongoza kwa ubora Afrika

Kwenye vyuo bora700 duniani hakimo Kenyatta kipo namba 501

Chuo cha hovyo

USSR
Punguza chuki mkuu, chuo cha hovyo hakiwezi kuwa kwenye Top 50 ya vyuo vikuu bora barani afrika. Maana yake bila udsm tusingekuwa na chuo kinachotuwakilisha kimataifa
 
Hicho ndio chuo mtu mmoja alisema ametolewa jalalani?
 
Ubora wa nini mnaozungumzia? Kuna mambo mengine tunakaa kimya tu maana yanaaibisha akili zetu
 
Naona wadau wanabishana kuhusu vyuo,lakini kumbukeni kusoma chuo fulani chenye jina kubwa hakukufanyi uwe msomi mzuri
 
I'm very disappointed by the UDSM Management kuchapisha habari kama hiyo kwenye tovuti yao manake habari cheap kama hii walitakiwa kuwaachia watu wa mitandaoni!! Hivi wanaona fahari gani kuwa nafasi ya 42 wakati University of Nairobi wapo 13, huku Makerere wakiwa nafasi ya 14?! Hivi ni jambo la kuonea fahari hilo?! Ina maana uongozi wa UDSM unaona mshindani wao ni akina SUA, Mzumbe, na UDOM na sio hao ambao wametupiga gap la kufa mtu? Tena ikiwa UDSM Mkongwe ambae over 90% ya wafanya maamuzi wametoka hapo, wanajiona fahari ipi hata kwa Tanzania kuwa 42 huku SUA wakiwa 51?

Ukisikia siasa kwenye taasisi za elimu, ndo hii sasa!!
 
Hatupingi mkuu ni cha 42 Afrika pigia mstari
 
Anzisha thread yako juu ya hili…otherwise haupo mahali sahihi
 
Hilo halina ubishi, hicho ndiyo huwa selection ya kwanza kwa kila mhitimu wa A-level ila wanapokataliwa ndiyo huwa wanageuka wapinzani. Udsm ndiyo chuo bora Tanzania
Unauhakika mkuu!!! inategemea na future ya mtu kwa mfano watu wanotak health kichwan chaguo la kwanz ni muhas ikishndkan ndo wanaangalia vyuo vingne
 
Leta data kuthibitisha hoja yako acha uchonganishi
Mwakyembe,
Lipumba
Lowassa
Polepole
Yaani upuuzi ni afadhari hata ya Msukuma ambaye ameenda street university ya Geita!!
 
Chief Hangaya alisoma Mzumbe ila washauri wake wote wametoka hapo JALALANI UNIVERSITY.
 
Mwakyembe,
Lipumba
Lowassa
Polepole
Yaani upuuzi ni afadhari hata ya Msukuma ambaye ameenda street university ya Geita!!
polepole ni kichwa kile sema v8 zinamsumbua . Ni technical incharge
 
Hujui kuwa Yesu alikwisha kurudi ? Unan'ang'ania siku isiyoweza kukuokoa !!
Kama ulikuwa hujui alirudi siku ya pentekoste Kama roho
 
Kimementain ubora kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…