UDSM Ruangwa Campus & Namungo FC vitadumu hata baada ya Majaliwa kustaafu?

UDSM Ruangwa Campus & Namungo FC vitadumu hata baada ya Majaliwa kustaafu?

Airport ya chato na Ile bank ilijengwa Kwa mbwembwee hv Bado zinapumuaa kweliii🤔🤔

Hii nchi Kuna kipindi ataingia raisi asiyekuwa na chama HAKI atanyongaa watu hadharan Kwa ubadhirifu wa fedha za walipa kodiiii...
 
Back
Top Bottom