Uwanja utaanza kutumika sana hasa watu wa Kabanga Nickel wakianza ujenzi wa mgodiBenk bado ipo vizuri, uwanja upo ila ndege kutua na kupaa ni nadra sana
Usisahau chato International AirportJibu liko Urambo ilikojengwa ofisi ya Speaker wa awamu ile
Shabash!👍Usisahau chato International Airport
Amepata muda wa kupitiliza Sumaye tu ndiye amewahi kupata miaka 10 sasa yeye kapata miaka 10 Marais wawiliKama ilivyokuwa Katavi University of Science and Technology (KUST) vile vile Ile campus ya Mchongo kule Ruangwa inaenda kuwa nyumba ya popo! Mzee wamemtema mapema asubuhi
Mke wake si anaitumia, alirithi Jimbo la mume wake.Jibu liko Urambo ilikojengwa ofisi ya Speaker wa awamu ile
Walichofanya Chato ni roho mbaya tu.Usisahau chato International Airport
Weka picha tuone🤣🤣🤣Ruangwa kama Tokyo
Itakuwa ofisi ya makumbusho kuwa zamani hizo Urambo iliwahi kutoa Spika.Jibu liko Urambo ilikojengwa ofisi ya Speaker wa awamu ile