Gembe naona umemshushua sana mwanahaki, nadhani hakuwa na nia mbaya kutoa taarifa hii, kama alikosea jina la kozi basi na simu pia ni shida??? hii itafanya watu wawewanaogopa kuleta habari hapa, mimi binafsi nilijua kakosea kozi lkn hapa ujumbe ulikuwa ni maandano na maaskari, les try to be realistic hapa jamani
Nimepigiwa simu sasa hivi na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa IT,
hakuna kozi hiyo pale mlimani,navyojua kuna Bsc. in Computer science pekee,hauna haja ya kutupa namba.siye wenyewe tutajua.
Invisible fuatilia suala hili kwa ukaribu,
Na ukweli ni kwamba FFU wamesha tinga maeneo na gari lao la maji ila cha ajabu sijaona Ambulance maana wanaweza kuumiza ama kuumizwa then inakuwaje ?
Taarifa za uhakika ambazo nimepata sasa hivi toka chuoni ni kuwa vurugu zimekuwa kubwa zaidi kiasi kwamba mabomu ya machozi yameanza kuporomoshwa.
Wanafunzi wanakimbilia vyumbani na hali inaelekea kuwa tete chuoni hapo.
Kama kutakuwa na zaidi nitakufahamisheni kwakuwa naongea na watu wa ndani zaidi pale.
Invisible
Nimepigiwa simu sasa hivi na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa IT,
hakuna kozi hiyo pale mlimani,navyojua kuna Bsc. in Computer science pekee,hauna haja ya kutupa namba.siye wenyewe tutajua.
Invisible fuatilia suala hili kwa ukaribu,
Nimepigiwa simu sasa hivi na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa IT,
hakuna kozi hiyo pale mlimani,navyojua kuna Bsc. in Computer science pekee,hauna haja ya kutupa namba.siye wenyewe tutajua.
Invisible fuatilia suala hili kwa ukaribu,
Mimi nawashangaa sana. Migomo kila inapokaribia mitihani kwa nini? Nyie kama mnasoma kwa mkopo wa sirikali, mjukuu wangu anasoma kwa pesa ya mauzo ya kolosho. Nimeuza mpaka tubuzi twangu kumlipia ada kisha alete upuuzi wa kugoma walahi ntanyonga mtu.
Kuna vijana hawataki kusoma wakiona mitihani visingizio kibao, mara uchaguz, mara nyumba za kulala chafu, mara maji hakuna. Mbona wenzeo akina Mbatia walipokuwa wakigomaga walikuwaga hawangoji mitihani? Haya watueleze kwa Mukandala walifuata nini tena usiku?
Mjukuu wangu Aggy nikisikia umegoma ntakuja nikutandike bakora mbele ya kadamnasi. Nimekupeleka huko kusoma, kama umeshindwa ludi nyumbani tuokote kolosho

But was all this force really necessary? Maybe hapa ndipo tunapaswa kujadili kidogo; tabia ya polisi ya kutumia mabavu kwa wananchi wanyonge na wasio na silaha zozote. It is unbecoming and a very uncivilised way of handling problems! Halafu tunategemea hawa wanafunzi baadaye wakiwa viongozi waheshimu misingi ya demokrasia ya uhuru wa kujieleza, kukusanyika, kuandamana, etc?
Nimepigiwa simu sasa hivi na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa IT,
hakuna kozi hiyo pale mlimani,navyojua kuna Bsc. in Computer science pekee,hauna haja ya kutupa namba.siye wenyewe tutajua.
Invisible fuatilia suala hili kwa ukaribu,
Gembe naona umemshushua sana mwanahaki, nadhani hakuwa na nia mbaya kutoa taarifa hii, kama alikosea jina la kozi basi na simu pia ni shida??? hii itafanya watu wawewanaogopa kuleta habari hapa, mimi binafsi nilijua kakosea kozi lkn hapa ujumbe ulikuwa ni maandano na maaskari, les try to be realistic hapa jamani
Awali ya yote... ni migomo mingapi ambayo imewahi kufanikiwa hapo Mlimani?Nafikiri Mkuu wa Chuo huwa anaangalia hali ya amani chuoni huwa siyo busara kusubiri mpaka ifikie wakati wa kuleta polisi hata kuingia kwenye mabweni.
Hapa kuna mengi yatakayo tokea kwa busara inatakiwa atangaze kufunga chuo mara moja ili kuweza kusolve tatizo.
Nimepigiwa simu sasa hivi na mwanafunzi wa mwaka wa pili wa IT,
hakuna kozi hiyo pale mlimani,navyojua kuna Bsc. in Computer science pekee,hauna haja ya kutupa namba.siye wenyewe tutajua.
Invisible fuatilia suala hili kwa ukaribu,
Waungwana Ni Kweli Kabisa Chuo Kulikuwa Na Machafuko Kwa Muda Lakini Kwa Sasa Hali Ni Shwari,, Mimi Ni Mmoja Wa Waliothirika Na Mabomu Ya Machozi Nimelia Nimetoka Makamasi Maana Sikua Na Maji Na Moshi Wa Mabomu Umeingia Mpaka Ofisini Kwangu.. Ilikuwa Kazi Kweli Kweli....
Wanafunzi Wote Wamejifungia Vyumani Mwao Na Wanachungulia Madirishani As If Mtu Yupo Kwenye Treni Dah Inachekesha Sana Maana Umoja Wanaouonyesha Wakati Wa Kuanda Amigomo Unavunjika Pale Tu Wazee Wa Kazi Wanapokuja Na Kutoa Kichapo Kwa Waleta Vurugu...