UDSM UE is around


Namm ndo huwa mara zote nashangaa, umeongea point sana mkuu... Mbaya zaidi wasomi wasikuhizi akili zao zinawaza kuajiriwa tu na hii ndo sababu tatizo la umaskini linazidi kuwa kubwa
 
Namm ndo huwa mara zote nashangaa, umeongea point sana mkuu... Mbaya zaidi wasomi wasikuhizi akili zao zinawaza kuajiriwa tu na hii ndo sababu tatizo la umaskini linazidi kuwa kubwa

Maelezo mazuri sana. Sasa nawaasa wasomi wetu watumie usomi wao kutafuta suluhu ya matatizo yetu badala ya kutambiana ubora wa kozi ama vyuo. Hebu nikuulize swali dogo tu kwamba ktk pitapita zako hapo mnapopaita chuoni umewahi kujua msomi na mdau mkubwa wa elimu aitwaye Rwekaza Mukandala ameifanyia nini nchi yetu zaidi ya kufanya tafiti za kutengenezea mazingira ya ushindi rafiki zake ktk siasa? Unajua alichokifanya Baraza la Mitihani la Taifa akiwa kama mwenyekiti?

Ukipata majibu ya hapo sasa fikiria mtu anaitwa Mwakyembe, Magembe, Mahalu, Mwandosya na wengineo wa namna hiyo kisha uniambie ni nini kimewakumba hadi wakawasaliti wananchi wao na "kuolewa" na siasa/wanasiasa?

Mkuu mimi si mjuzi sana wa mambo ya siasa ila naona siasa inawameza wasomi wetu. Ukipata muda pitia kitabu kinaitwa "A Man of the People" kimeandikwa na hayati Chinua Achebe wa Nigeria kisha uniambie utofauti wa Chief Nanga ktk kitabu hicho na hao wanaoitwa maprofesa, madaktari wa uzamivu, nk. nk.
 

ha!.ha!ha!!ha!kuna dogo ana 3.15 yupo COET,.hapo vp?,..bwahahahahahaha!
 

Nyie ndo mlopata degree kwa migongo ya watu kaz kuhonga tu.....wanaume wa kweli laZima wamestrugle
 
Mbeya university of science and technology wish all da best 23 June to 4 July...
 
Mmh stil kuna watoto humu..bt mkikua mtaacha izo itikad zenu hafifu..
 
Nyie ndo mlopata degree kwa migongo ya watu kaz kuhonga tu.....wanaume wa kweli laZima wamestrugle

Kustuggle hakuna uhusiano na kupata shida, nina shaka na akili yako. Nimeandika hapo juu kuwa nahudhiria mihadhara, naingia semina zote na najisomea kila siku lisaa moja. Sijui kuhonga kunakuja wapi hapo.

Nimeamini mse.nge hana mkole...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…