Mganguzi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2022
- 1,604
- 3,715
Hili jambo limenisikitisha sana kama si kunifedhehesha utaratibu wa kutoa vyeti ni wa hovyo kabisa!! Vijana wametoka mikoani na wanawahi ku apply ajira ajabu tangia jumatatu mpaka Leo hawajapata vyeti, wengi wao hawana ndugu hapa Wala pesa ya kujikimu hawajui watalala wapi
Kila siku wanapanga foleni asubuhi mpaka jioni hakuna vyeti na wanawahi ajira hizi wa apply wajaribu bahati Yao kwa Nini mnawafanyia hivi? Kesho ni ijumaa jumamosi itakuwa Idd. Mnawaweka wapi? Kama zoezi ni gumu wasaidieni Mahali pa kulala na mjue mmeshikilia hatima za watu
Sijapenda huu utaratibu na pesa zao mmechukua. Kila mwanachuo kalipa 15000! Kwa Nini hamjali watoto wa wenzenu?
Sijapenda badilikeni mnafanya mambo ya kizamani sana na mifumo mnayotumia Haina hadhi ya chuo kikuu kinachotegemewa na watanzania wengi vyeti 400 mnachukua wiki nzima au kwa sababu nyinyi mmeshiba ugali?
Mnakera sana mamlaka ichukue hatua vijana wengi hawataweza ku apply hizi ajira kwa kukosa vyeti kwa uzembe wenu