Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
SAKATA LA VALID ID
Zaidi* ya robo tatu ya Wanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es salaam wameshindwa kufanya mitihani yao ya majaribio baada ya kukiuka kanuni na taratibu za mtihani za chuo kikuu cha Dar es salaam zinazowataka kuwa na kitambulisho halisi cha chuo ndani ya muhula au mwaka husika ( Valid id).
Katika maeneo mbalimbali wanafunzi hao wameonekana wakizunguka zunguka bila uelekeo maalumu huku wengine wakiongea peke yao, Aidha Quimb media imefanikiwa kukuta Wanafunzi wengine wakiwa nje ya vyumba vya mitihani wakati mitihani ikiwa inandelea na minong'ono ya hapa na pale ikiendelea.
Tumefanikiwa kufanya mahojiano na baadhi ya wahanga hao kujua sababu hasa ni nini iliowafanya kuvunja sheria hio ya mtihani kwa idadi kubwa hivyo ya wanafunzi.
"kwani hali za uchumi wetu hamzijui ...hilo boom la kwanza watu wangejigawa...vp ...yani kwanza saivi tu watu hali ni mbaya sasa na wangelipa adaa si tungekuwa tunaokotana tu venue....kwani wakiacha utaratibu wa mwanzo ule kuna tatizo gani mbona mambo yalikuwa yanaenda
NB:Nimeanza kumuelewa yule mbunge aliyetrend siku chache zilizopita alikuwa na point kubwa sana kama angesikilizwa vizuri kabisa