VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika serikali ya wanafuzi wa udsm maarufu kama daruso.waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima yao.wamesawajika kwa mawazo,akili na moyo.wanafunzi wenzao ambao ndio walikuwa wakiwapigania katika masuala ya mikopo wamewasaliti.
Wao wamefanya mitihani ya semista ya kwanza na kumaliza.wanarudi chuoni jumapili ijayo tayri kwa semista ya pili na ya mwisho kwa mwaka wa masomo wa 2011/2012.wasimamishwa hawakumbukwi.hawathaminiwi.wamesalitiwa.udsm ni wasaliti...
weweeeee!!!! Acha umbea watu wanajipanga usiku na mchana.... Wewe subiri vijana wafungue j3 ndo utaijua ud! Vikao vinafanyika kila uchao kuhakikisha vijana wanarudi kundini kwa kishindo. Kwa taarifa yako ud huwa hafukuzwi mtu mpaka kieleweke.
Au ulitaka watu wagome mda wa likizo, kuna watu wana phd za mgomo halafu wewe unawafundisha kazi et..... Labda umetumwa na mkandala upime kina cha maji ndugu.... Subiri tsunami from monday kwanza vijana watakua na hele so no woryy!
Solidarityyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.......... Frevereeeeeeeeeeeeeeeer!
Kwa taarifa yako,sina fungamano na fisadi yeyote wa nchi hii.Kama kweli mnajiandaa,tuanawasubiri jumatatu.Mtanikuta Rev Square pale mkinihitaji.Msije mkaharibu sifa ya kimapambano ya UDSM.We were and should be unique...