Udsm wasaliti..

Udsm wasaliti..

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika Serikali ya Wanafuzi wa UDSM maarufu kama DARUSO.Waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima yao.Wamesawajika kwa mawazo,akili na moyo.Wanafunzi wenzao ambao ndio walikuwa wakiwapigania katika masuala ya mikopo wamewasaliti.

Wao wamefanya mitihani ya semista ya kwanza na kumaliza.Wanarudi chuoni Jumapili ijayo tayri kwa Semista ya pili na ya mwisho kwa mwaka wa masomo wa 2011/2012.Wasimamishwa hawakumbukwi.Hawathaminiwi.Wamesalitiwa.UDSM ni wasaliti...
 
sasa wakati wanaongoza mgomo walitegemea nini?huruma ya wenzao au...ngoja wakae kwanza nyumbani ndio watajua tuliwatuma waende kusoma au kugoma..
 
io Tanzania yetu tuliyo nayo hiyo...hivi wale ndio waliomzomea JK?
 
ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika serikali ya wanafuzi wa udsm maarufu kama daruso.waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima yao.wamesawajika kwa mawazo,akili na moyo.wanafunzi wenzao ambao ndio walikuwa wakiwapigania katika masuala ya mikopo wamewasaliti.

Wao wamefanya mitihani ya semista ya kwanza na kumaliza.wanarudi chuoni jumapili ijayo tayri kwa semista ya pili na ya mwisho kwa mwaka wa masomo wa 2011/2012.wasimamishwa hawakumbukwi.hawathaminiwi.wamesalitiwa.udsm ni wasaliti...

weweeeee!!!! Acha umbea watu wanajipanga usiku na mchana.... Wewe subiri vijana wafungue j3 ndo utaijua ud! Vikao vinafanyika kila uchao kuhakikisha vijana wanarudi kundini kwa kishindo. Kwa taarifa yako ud huwa hafukuzwi mtu mpaka kieleweke.

Au ulitaka watu wagome mda wa likizo, kuna watu wana phd za mgomo halafu wewe unawafundisha kazi et..... Labda umetumwa na mkandala upime kina cha maji ndugu.... Subiri tsunami from monday kwanza vijana watakua na hele so no woryy!

Solidarityyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy.......... Frevereeeeeeeeeeeeeeeer!
 
Kwa taarifa yako,sina fungamano na fisadi yeyote wa nchi hii.Kama kweli mnajiandaa,tuanawasubiri jumatatu.Mtanikuta Rev Square pale mkinihitaji.Msije mkaharibu sifa ya kimapambano ya UDSM.We were and should be unique...
 
we vunta - nkuvute unachekesha kaka, wewe si Mcoet kaka, nyinyi ndio wasalti namba moja. afu jina lako maana yake ni vyooo vya COET - udsm. kama unafikiri angalia kwenye ule thread yako ya misamiati vyuoni.

from Monday mambo ni KUNJIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
 
Maisha kama kupanga foleni ukisikia nyuma geuka wa kwanza anakua wa mwisho,wajipange tu kuanza upya sio ujinga.
 
Back
Top Bottom