VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Ni muda sasa tangu wasimamishwe masomo viongozi mbalimbali wa wanafunzi kutoka katika Serikali ya Wanafuzi wa UDSM maarufu kama DARUSO.Waliosimamishwa bado wako majumbani kwao wasijue hatima yao.Wamesawajika kwa mawazo,akili na moyo.Wanafunzi wenzao ambao ndio walikuwa wakiwapigania katika masuala ya mikopo wamewasaliti.
Wao wamefanya mitihani ya semista ya kwanza na kumaliza.Wanarudi chuoni Jumapili ijayo tayri kwa Semista ya pili na ya mwisho kwa mwaka wa masomo wa 2011/2012.Wasimamishwa hawakumbukwi.Hawathaminiwi.Wamesalitiwa.UDSM ni wasaliti...