Udsm yageuka danguro wakuu

Hawa ndiyo wale anagombana na kiongozi wa daruso kwa kugombea demu badala ya kudili na hoja binafsi anaenda rev square na watu wanamsikiliza.

Ushahidi anaoutoa mwenzetu haueleweki kabisa ukienda anapotaja sijui labda wenzangu nanyi muende mkajionee.

Tujifunze kutoa mada za kuelimisha, kuburudisha, kukosoa, kuelekeza na siyo za kiungo na za kichochezi
 
Hivi pesa ya kujikimu kwa siku wanapokea kiasi gani?
 

Kama serikalini ni uchangudoa mtupu katika kutoa vyeo mnategemea vyuo viwe exceptional to the general rule? Watu wanapewa ukuu wa wilaya, mikoa hata ubalozi uwaziri na ujaji kwa dhambi hii. Kimsingi hii ni picha halisi ya jamii yetu ambapo ufisadi wa kila nyanja umeshamiri.
 
Hivi leo nipo Dar aliyenipenda nishamuoa jina aitwa Cindellera..

Wengine ni Tabia zao sababu ya Shida zao au mapenziyao siku moja moja na kufumaniwa ni ajali kazini tu kila sehemu yapo haya, wacha kupakazia Mbaya...

Pale watu wanaenda na akili zao
 
Ni mida hii? Kwahiyo nikija mida hii nitaopoa totoz hapo? Hebu nijuze mkuu nije fastaaaa!

ogopa kaka, IFM na UDSM ni UKIMWI kwenda mbele, wanafunzi wanataseka sana kutokana na kukosa pesa. hawana mapenzi ndiyo maana huwa wanaachana baada ya kumaliza chuo
 
msizungumze vitu hamjui maana yake
danguro mnajua lilivyo?
swala la wanafunzi kujiuza kimya kimya hilo lipo dunia nzima
but usiseme danguro

That true! baelezee!!! sio wanakuya na longo longo mingi kwa JF!
 
Swala la ngono Vyuoni mbona ni " Universal". Lipo vyuo vyote unavyovifahamu wewe japo inawezekana kwa viwango tofauti tofauti .
 
hakika nyakati nzuri zikipita hazirudi .napata na shida sana kila napohitaji kufanya masters sababu waalimu wengine wanao fundisha masters nimemaliza nao degree ya kwanza.hawana experience wala exposure.Nasikitika kwa kitu kimoja hapa tunazalisha kizazi kibovu sana .masters holder hawezi andika proposal wala kui defend.hawezi fikiri kwa kina.Tanzania ya leo kila mtu ana masters lakini watendaji na competency ni wachahe.
 
Kumbe!hata cjakichagua chuo cha udsm.ASANTE SANA MUNGU KUNIEPUSHA NA BALAA HILI
 
mbona umepandisha munkari unasoma udsm mkuu hahahahah lile ni danguro kataa usikatae hapafai pale!!!

wanajiuzia wapi?mida gani?nipe direction.Tatizo ukiopoa huwwezi uliza kitambulisho chake(ID) kama kweli ni udsm
 
Ni mida hii? Kwahiyo nikija mida hii nitaopoa totoz hapo? Hebu nijuze mkuu nije fastaaaa!

Mungu akusamehe sana. Tunazungumza kitu burning kama hiki wewe unaleta mzaha mkubwa namna hii? Je ukikuta aliyefanyiwa ni dadako, mdogoako au mwanao utajisikiaje? Apandacho mtu ndicho avunacho.
 
Swala la ngono Vyuoni mbona ni " Universal". Lipo vyuo vyote unavyovifahamu wewe japo inawezekana kwa viwango tofauti tofauti .

Unamaanisha nini unaposema ni universal? Wewe unashabikia au unasikitika juu jambo hili?
 
UDSM haiwezi kugeuka danguro bali baadhi ya wanachuo/watu wanaweza kuwa waasherati..
 

Hall 3 kuna Block A,B,C na D-Dag
 
Reactions: SG8
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…