Udsm yageuka danguro wakuu

Udsm yageuka danguro wakuu

jaman UDSM yageuka danguro mapenzi yanafanya sehem yoyote giza likiingia,mwanafunzi mmoja wa udbs(udsm school of bussiness)afumaniwa kwenye gari la mshikaji na mshikaji wake alitoka kwenye gari kwa hasira na kumpiga kichwa auxiliary police ofisa hadi kumpasua kwenye paj la uso ,ndipo mwanaume huyo alikamatwa na kupelekwa kituon ndipo alipigwa fain ya shiling 3,000,000 na kuachiwa na katoto hako ka kike ni mwaka wa kwanza hata shule hakajazoea kanabembeleza viongiz wa DARUSO JAMBO HILI LISIFIKE Mbali kwan ofice ya dean of students ikifaham atafukuzwa chuo kwa MUJIBU wa sheria ndogo ndogo za chuo,jaman dunia imekwisha ,maeneo ya hall 3 kwa maeneo ya campus ndo uwanja wa vita kama meada ,buguruni au ambiance,jaman wengine wanauza kabisa kunavyumba maalum ukitaka unapelekwa unapata service this is terrible ma dear

... It has been like that for years... tofauti mie nilikuwa HILL SIDER ..ulizia hawa walikuwa watu gani!!HAPO hall three mbona ilikuwa home tu!!! Pili tofauti nyingine kidogo ... ni hako Kabinti asubuhi kangekuwa kamewajibishwa na MZEE ..kuta zote za hapo cafteria, hall 2,3,6 nk kangeraa kwa PUNCH!!

Lakini mambo ni hayo hayo ... ONE thing!! sasa hihizi sisi tunapost kubwa ndani ya nchii hii na nye manfanya mchezo ..chezeni lakini someni!!!!
 
Kama serikalini ni uchangudoa mtupu katika kutoa vyeo mnategemea vyuo viwe exceptional to the general rule? Watu wanapewa ukuu wa wilaya, mikoa hata ubalozi uwaziri na ujaji kwa dhambi hii. Kimsingi hii ni picha halisi ya jamii yetu ambapo ufisadi wa kila nyanja umeshamiri.

Hili Neno lako nimeelewa!

Na zaidi, Mbona huku mtaani , maofisini nyumba za ibada ... hakutoshi!! ??
 
msizungumze vitu hamjui maana yake
danguro mnajua lilivyo?
swala la wanafunzi kujiuza kimya kimya hilo lipo dunia nzima
but usiseme danguro
Tena si wanafunzi tu, hata wafanyakazi, tena wake kwa waume wanajiuza au wanafanya ngono holela kama walivyo baadhi ya mama lishe, waalimu, askari polisi hata bungeni unaweza kukuta wanaofanya ngono ili wapate chapaa au cheo. sijui kwa nini wamekamia sana wanafunzi wa UDSM, mtu akiwa na boyfriend, nongwa, wote wanajiuza, mnategemea wale wasichana na wavulana waanze kuwa na wapenzi na kufanya ngono lini? its the right time, wanafanya its not affecting anyone but themselves, shida za nini. this is a bigoted and chauvinistic thinking, let them enjoy themselves! after mikiki ya mitihani ya form six, kasheshe za bweni , mageti ya home, walikuwa wanaambiwa wasubiri, wakasubiri, unataka wasubiri mpaka lini? umri wa Anne Kilango? they are over 18 and have a right to do what they want! huyo aliyeandika usikute yeye ndio mteja namba moja wa barabara ya Meeda na Jolly, au everybody around him/her is doing it na ana feel left out! go and get some! Dont be mean!usiwe na wivu wa kitoto!
 
"Nakuombea salaaaaaaaa ......shilingi mia mooja, naao machangudoaaaa%%%%%% mimi saaasa nasonga mbeeleeeeee, maisha yangu bilayaweeweeeeee.....etc"
 
sasa wewe unayepost hizi habari za umbeya unaumia nini kwa mambo yaso kuhusu...kama huwezi kaa kimyaa bhanaa
 
Tena si wanafunzi tu, hata wafanyakazi, tena wake kwa waume wanajiuza au wanafanya ngono holela kama walivyo baadhi ya mama lishe, waalimu, askari polisi hata bungeni unaweza kukuta wanaofanya ngono ili wapate chapaa au cheo. sijui kwa nini wamekamia sana wanafunzi wa UDSM, mtu akiwa na boyfriend, nongwa, wote wanajiuza, mnategemea wale wasichana na wavulana waanze kuwa na wapenzi na kufanya ngono lini? its the right time, wanafanya its not affecting anyone but themselves, shida za nini. this is a bigoted and chauvinistic thinking, let them enjoy themselves! after mikiki ya mitihani ya form six, kasheshe za bweni , mageti ya home, walikuwa wanaambiwa wasubiri, wakasubiri, unataka wasubiri mpaka lini? umri wa Anne Kilango? they are over 18 and have a right to do what they want! huyo aliyeandika usikute yeye ndio mteja namba moja wa barabara ya Meeda na Jolly, au everybody around him/her is doing it na ana feel left out! go and get some! Dont be mean!usiwe na wivu wa kitoto!

Mama yuva you are so liberal
it turn me on lol
 
Hii trend ni ya kitoto zaidi. Yaani mty mmoja tayari udsm imeitwa danguro. Hapo hall three unaposema ni green zone kama vipi mlete ushahidi wa picha hapa
 
Yaani mtu mmoja tu kukutwa anasukumiwa nyama ndio chuo kizima danguro jamani hebu kuweni makini na haya mambo...halafu hilo suala la kusukumiana mbona kawaida tu..hata Oxford wanasukumiana hivo hivo..
 
Kwa matukio kama hayo najaribu kupima aina ya viongozi Tanzania yetu itakayokuwa nao in the next fifteen years to come!

Wazazi na walezi wanapaswa kuwaandaa watoto hasa vijana wanaokwenda kuanza vyuo about th challenge facing them in future before
 
Oh! You guys be careful.Never, never play with sexual immorality,for you will never go unpunished. " But a man who commits adultery lacks judgement, whoever does so destroys himself "(Prov. 6:32).At the end of your life you will groan, when your flesh and body are spent. You will say "How I hated discipline! How my heart spurned correction.
Lastly,remember the principal of sowing and reaping."The one who sows to please his/her sinful nature will reap destruction".It might not be today or tommorrow but I guarantee you that you will reap. It is just a matter of time. Let's wait and see.
 
haya ndo madhara ya chuo kuwa na wastani mdogo(40%), ndo maana mpaka wanapata muda wa kufanya hizo ngono holela!, huwezi kukuta vyuo vyenye average kubwa (50%),kama SUA & MUCCoBS wanafanya mambo ya kupoteza muda
 
Americanization is in a new term in a globolizing world,lets American Culture dominate the world,kills other cultures
 
Back
Top Bottom