elimukwanza
Senior Member
- Dec 27, 2010
- 169
- 23
Inawezekana hiyo ila nafikiri university of Dar es Salaam inaheshimika kwa sheria kuliko course nyingine yoyote. Kama nako wameporomoka hiyo itakuwa hatari.
Nimeweza kuthibitisha kuwa SUA imepanda na sasa imeipita Makerere University. Dar bado ipo juu kidogo. Bravo SUA keep it up
2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
wewe kweli ni dreamer tena kwa mchana wote huu unatisha!
Link umeweka mwenyewe afu umeshindwa kuona kua SUA ni ya 28 na UDSM ni ya 22?
Uko udom nini wewe?
Na bado! subiri ujio wa wanafunzi kutoka shule za kata.
Mbona mkuu wangu nimesema Dar bado ipo juu! Hahaha mimi ni MSUASO bwana!
Mh. Speaker, Mbona mkuu wangu nimesema Dar bado ipo juu! Au kwa vile nimesema Dar badala ya UDSM?Hahaha mimi ni MSUASO bwana! Hicho chuo cha Kata naangalia ustaarabu asije akasoma mtoto wangu kama hakitabadilika
Unajua rankings tunazo angalia mara nyingi zina base katika "web rakings" ambapo wanaangalia ni jinsi gani chuo kinatoa material kwa wanafunzi kupitita mtandao na jinsi ulivo user friendly,....kwa kigezo hicho kama kikitumika ipasavyo udsm haipaswi kua hata ya 100 coz website yao ni mbaya balaa!
Kama ni siasa sijui,lakini hali ya chuo kwa ujumla ni mbaya na haitamaniki hasa katika lecture rooms na accomodation ni sifuri,.....ninacho kataa mimi ni kigezo cha siasa,....kama ingekuwa kweli basi Ghana university ingekuwa ya kwanza
angalia ni ya ngapi hapa 2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
Imeshuka lakini si kwa kiwango cha kutisha!!
Chuo kinaisha vijana kila siku maandamano kwenda TIRDO namaanisha bodi ya mikopo HESLB
Uongozi wa Chuo umekuwa kiranja wa Keundekeza siasa za kifisadi na kuandaa SLOGAN ZA KUOMBEA KURA NA MISAADA MTALII kila kukicha badala ya kuumiza kichwa ili vijana watoke na elimu nzuri.
Prof. Mkandala ana role gani katika hili la kuporomosha hadhi ya chuo? je, huyu jamaa anatofautiana vipi na the former VC Prof. Luhanga?
Sisi wana statistician tunasema (put them in a basket of only 2 unis) utaona UDSM kimeporomoka ki ubora ukilinganisha na SUA, mtu anatoka kuwa wa 78 hadi 28 wakati wewe miaka yote uko pale pale utakuwa unafanya nini, wangekuwa watoto wangu ningempongeza SUA zaidi ya UDSM kwa vile anaonekana anajituma zaidi ya mwenzake.wewe kweli ni dreamer tena kwa mchana wote huu unatisha!
Link umeweka mwenyewe afu umeshindwa kuona kua SUA ni ya 28 na UDSM ni ya 22?
Uko udom nini wewe?
Toka wapi (na lini) hadi wapi (leo hii)?