Safi elimu kwanza. Ud hawana ubunifu wa taaluma zao zaidi ya kujaza siasa kwenye vichwa vyao.utadhani kuna faculty of Politics and propaganda ,siku zote utadhani wanajiandaa na final project ya migomo na maandamano, uone walivyo punctual kwenye maandamano na migomo but hawafanyi hivyo kwenye projects na innovation. Niwaambieni nchi za wenzetu a big university kama Ud haiwi just source ya politicians kama ilivyosasa bali wanasayansi na chachu ya maendeleo kisayansi. tafiti zenye faida. Uchaguzi umeisha wamekosa cha kufanya ,sasa wanadai katiba mpya ,waulize ya zamani unaijua vizuri? atanukuu mapungufu ambayo Mnyika na Slaa wananukuu tu bila kuongeza hata mstari mmoja mwingine aliouona yeye pindi akiperuzi. nawaombeni vijana wenzangu hasa wasasa msiwe drived tu ,jaribuni kusoma, kutafiti na kutafuta ,msiwe na kauli za flani kasema , kila asemacho flani yes, na kila asemacho fulani no, no kuweni waerevu na mwerevu ni yule haamini kwa kurithi bali kwa kutafiti na kulinganisha. tuache uvivu .Chuo kinakufa taratibu ,najua mtatoa sababu kuwa ni mkandara ila kila mmoja wetu anahusika. jiulize mimi nafikiria nini zaidi. masomo , siasa,utafiti, maendeleo?