Mkuu nakumbuka 2009 ilikuwa ya 12 kwa afrika na ya kwanza kwa afrika mashariki na sasa ni ya 22,pia ni ya pili kwa africa mashariki!!!
Udsm tunayoijua siyo ya sasa wewe angalia hata mijadala yao sikuhizi pumba tupu.raking wanaangalia vitu vingi ikiwemo hata uwezo wa wakufunzi lakini academically kwa uwezo wa kitaaluma kwa undergraduate UDSM imeshuka sana.Chuo akiwezi kuendelea kwa tafiti za quetionnaire kama Redet n.k.chuo lazima kiwe na tafti za kisayansi zinazotoa output

Mh!kwa hiyo imepanda ?basi kama ni hivyo inastahili pongezi!!sio kweli hata kidogo,last year ilikuwa nafasi ya 24,makerere ndio ilikuwa namba 12!
Ni kweli kabisa halina mjadala hilo...
Mh!kwa hiyo imepanda?basi kama ni hivyo basi inastahili pongezi!!
Wana jf kuna habari kuwa hadhi ya chuo kikuu cha dar es salaam inazidi kuporomoka kutokana na vyuo vya ardhi na mhimbili kujitenga.sasa imebaki engineering tu inachokibeba chuo.aidha inadaiwa kuwa tofauti na prof luhanga makamu mkuu wa sasa anaendekeza siasa badala ya taluma na utafiti.sua sasa wanashika nafasi ya 28 kwa ubora africa wakati mwaka jana walikuwa wa 78.
Safi Njowepo,EBU TUANGALIE NA VIGEZO KABLA YA KUKOSOA
The 4icu.org directory includes worldwide higher education organisations which satisfy the following requirements:
§ are officially recognized, licensed or accredited by national or regional bodies such as ministries of education and/or recognized higher education accrediting organizations.
§ are officialy entitled to grant four-year undergraduate degrees and/or postgraduate degrees.
§ provide traditional face-to-face learning facilities, programs and courses.
§ have a working official website.
Inawezekana hiyo ila nafikiri university of Dar es Salaam inaheshimika kwa sheria kuliko course nyingine yoyote. Kama nako wameporomoka hiyo itakuwa hatari.
Inawezekana hiyo ila nafikiri university of Dar es Salaam inaheshimika kwa sheria kuliko course nyingine yoyote. Kama nako wameporomoka hiyo itakuwa hatari.
Nimeweza kuthibitisha kuwa SUA imepanda na sasa imeipita Makerere University. Dar bado ipo juu kidogo. Bravo SUA keep it up
2010 World University Ranking | Top 100 Universities in Africa
The dreamer unaota mchana,eti UDSM kwa sheria ni wazuri!
Ni miaka ya zamani sio sasa!Ni wachovu tu sasa,namfahamu graduate mmoja wa pale he cant speak good English.Utasema language sio kigezo,ukumbuke sheria zetu zimebase kwa lugha hiyo.
i bet wale wa Makerere na Nairobi ni cream kuliko wa UDSM.