habari zenu wakuu,mwaka huu mwezi wa tatu udsm ilikuwa 25 kwenye best universities in africa ila list mpya ya july udsm imeshuka vibaya sana mpaka 38
angalia hapa Ranking Web of World universities: Top Africa
je wadau tuishauri nini serikali yetu ili kuboresha vyuo vyetu?
mimi binafsi namalizia bachelor yangu ya telecommunications & computer science engineering hapa europe,hiki chuo ninachosoma 4 years ago wakati naanza kusoma kilikuwa miundo mbinu yake mizuri ila sio sana ila katika kipindi hiki cha miaka minne wameboresha kila kitu kuanzia majengo ya kufundishia,kuongeza waalimu,kozi mpya nyingi sana zimeanzishwa,mabweni ya wanafunzi yameboreshwa sana,student exchange program imeboreshwa zaidi yaani mamia ya wanafunzi wanakuja na wengine kwenda nchi mbalimbali kubadilishana ujuzi na serikali yao ndio inalipia gharama zote hizo.
yaani ndani ya miaka minne hii kwa kweli nikiwaangalia roho inauma sana, sijui serikali yetu hawawezi kuiga mambo kama haya,dah tanzania bado tuna safari ndefu sana kwa kweli