UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

UDSM yashuka kwenye list ya 'Top African universities'

mashizo

Member
Joined
Feb 24, 2009
Posts
43
Reaction score
32
habari zenu wakuu,mwaka huu mwezi wa tatu udsm ilikuwa 25 kwenye best universities in africa ila list mpya ya july udsm imeshuka vibaya sana mpaka 38

angalia hapa Ranking Web of World universities: Top Africa

je wadau tuishauri nini serikali yetu ili kuboresha vyuo vyetu?

mimi binafsi namalizia bachelor yangu ya telecommunications & computer science engineering hapa europe,hiki chuo ninachosoma 4 years ago wakati naanza kusoma kilikuwa miundo mbinu yake mizuri ila sio sana ila katika kipindi hiki cha miaka minne wameboresha kila kitu kuanzia majengo ya kufundishia,kuongeza waalimu,kozi mpya nyingi sana zimeanzishwa,mabweni ya wanafunzi yameboreshwa sana,student exchange program imeboreshwa zaidi yaani mamia ya wanafunzi wanakuja na wengine kwenda nchi mbalimbali kubadilishana ujuzi na serikali yao ndio inalipia gharama zote hizo.

yaani ndani ya miaka minne hii kwa kweli nikiwaangalia roho inauma sana, sijui serikali yetu hawawezi kuiga mambo kama haya,dah tanzania bado tuna safari ndefu sana kwa kweli

Hili ni tatizo la msingi na nadhani kama Taifa inabidi tupige kelele. Kwa upande mwingine nadhani Prof Mukandara anaweza kuwa anatumia muda mwingi kwenye mambo ya siasa kuliko kufikiria namna ya kuboresha chuo. Yuko zaidi kwenye tafiti za siasa hasa CCM na hiyo REDET lakini ukweli nchi nzima ndio inadhurika.

Very upset about this kwa kweli.

habari zenu wakuu,mwaka huu mwezi wa tatu udsm ilikuwa 25 kwenye best universities in africa ila list mpya ya july udsm imeshuka vibaya sana mpaka 38

angalia hapa Ranking Web of World universities: Top Africa

je wadau tuishauri nini serikali yetu ili kuboresha vyuo vyetu?

mimi binafsi namalizia bachelor yangu ya telecommunications & computer science engineering hapa europe,hiki chuo ninachosoma 4 years ago wakati naanza kusoma kilikuwa miundo mbinu yake mizuri ila sio sana ila katika kipindi hiki cha miaka minne wameboresha kila kitu kuanzia majengo ya kufundishia,kuongeza waalimu,kozi mpya nyingi sana zimeanzishwa,mabweni ya wanafunzi yameboreshwa sana,student exchange program imeboreshwa zaidi yaani mamia ya wanafunzi wanakuja na wengine kwenda nchi mbalimbali kubadilishana ujuzi na serikali yao ndio inalipia gharama zote hizo.

yaani ndani ya miaka minne hii kwa kweli nikiwaangalia roho inauma sana, sijui serikali yetu hawawezi kuiga mambo kama haya,dah tanzania bado tuna safari ndefu sana kwa kweli

Elimu ya UDSM saizi imekua more centred on videsa as a source of the University degree... Library kubwaaa.... lack of updated and crucial content, the students are so set on their course works and diverging getting a sup rather than polishing their GPAs... A university student anapewa Take home assignment ya maybe 10-15 marks ten day before siku ya kukusanywa, then anaifanya before one day using a single kidesa... no books or different studies/school of thoughts on the issue at hand... kikubwa zaidi ni google - copy and paste with high techniques of editing....

Majority ya students at UDSM ni wale from families za chini ambazo hawana uwezo wa ku sustain maisha - bado mwanafunzi aje Campus na pressure ya delay ya boom, hapo hapo kapangwa grade "C" ya mkopo (ana ironically yule alotoka familia yenye uwezo anapata grade "A" - Kwa vigezo gani?? Only HESLB can answer that); Hana mahala pa kulala wala muelekeo... by the time s/he is settled.... inakua imepunguza makali yake.

Hao assesors wangejua kansa ya 'udesaji' ya vyuo vyetu tungeshika mkia tangu late 80s.

Maliza hiyo undegraduate ya telecom halafu njoo uajiriwe kwenye sector huku uone maajabu ya watu wanatoka University na Eirst Class lakini hawezi kusoma page moja ya 'Operational Manual' ya mtambo unaoletwa hapa nchini.

Kuna watu humu JF wanatetea sana uzalendo tujali wataalam wetu humu ndani kwenye ajira hasa kampuni hizi za wageni.

Nawahurumia kwa sababu hawajui tatizo kubwa ni jinsi tunavyojiumbua mbele ya wageni kiasi kwamba inafikia mahala unaona heri wazidi kuleta wataalamu toka kwao kuliko kuzidi kufunua aibu kwamba vyuo vyetu ni chungu cha kupika vilaza.

Najua nimeanzisha mvua ya kunivurumishia kejeli na matusi kana kwamba mimi sipendi uzalendo. Lakini sijali kwa sababu nimechoshwa kitambo na ufinyu wa wazi unaoonyeshwa na vijana wenzangu hasa wanaotoka Chuo juzijuzi.

Kumbuka hapo sijataja excuse zao zingine kama kupiga misele, kukimbilia vikao vya harusi na a lot of unnecessary business.

Keep posted.

Hata mie leo nilijaribu kuangalia nikaikuta udsm ya 38 ktk africa na ya zaid ya elf 3 ktk dunia. Ndio endeleeni na maandamano mpaka mupate suluhisho la kisiasa. Maendeleo baadae saiv ni mpito.

Zanzibar tumeshapita hiyo stage.

chuo kikuu cha udsm ni takataka.hata hiyo namba wamepewa bahati mbaya.nilisoma hapo LAW SCHOOL NILICHOONA NI AIBU TU.VYOO VIBOUU na miundo mbinu ni ya miaka ya sabini.walimu wana roho mbaya kwa sababu ya umaskini na ukimwi.na wanafunzi wa kike makahaba.mtoto wangu atasoma ulaya,south africa au vyuo binafsi. UDSM NI UCHAFU.

Elimu ya UDSM saizi imekua more centred on videsa as a source of the University degree... Library kubwaaa.... lack of updated and crucial content, the students are so set on their course works and diverging getting a sup rather than polishing their GPAs... A university student anapewa Take home assignment ya maybe 10-15 marks ten day before siku ya kukusanywa, then anaifanya before one day using a single kidesa... no books or different studies/school of thoughts on the issue at hand... kikubwa zaidi ni google - copy and paste with high techniques of editing....

Majority ya students at UDSM ni wale from families za chini ambazo hawana uwezo wa ku sustain maisha - bado mwanafunzi aje Campus na pressure ya delay ya boom, hapo hapo kapangwa grade "C" ya mkopo (ana ironically yule alotoka familia yenye uwezo anapata grade "A" - Kwa vigezo gani?? Only HESLB can answer that); Hana mahala pa kulala wala muelekeo... by the time s/he is settled.... inakua imepunguza makali yake.

mmmmmmmmmmmm kazi hipo ma prof wako busy sana na siasa na body za mashirika ya umma

Mashizo, isije kuwa na wewe ukawa brain drained huko. Rudi bongo tujumuike.

na pia zipo taasisi za 6 zinazojihusisha na rank za universities and college na zote rank zao hazifanani unakta huku chuo cha nne huku cha 30 pia sijui wanatumia vigezo gani kupanga rank zao

c ndo serikali ya jk iliyoamua kuwapa makada wa vyama uongozi wa vyuo! Ni mwendo wa siasa kwanza,elimu baadaye!

• Thanks
Reactions: FJM
4sur kushuka kwa Udsm ol ze blame goes 2gvt siasa nyingi
Wanachuo wanateseka datz y hawaperform fresh
Mh.Shukuru uko wapi?,loan board ufisadi 2pu mtatuua watoto wa maskin
JK angalia taifa lako bana linaangamia hasa wana vyuo kwani2 2teseke?mkopo mpk mabomu na huku 2nalipa badae y?

huna lolote ulitaka tujue tu kwamba upo ulaya

we kingxvi niwaajabu mtoa hoja kaeleza view zake we unamdic kisa yuko ulaya dat itz nt fair n wat u did z awful
B4 commenting anything angalia kwanza kuwa kwake ulaya haku2husu ye ni mtz anahakiyakutoa maon c kwamba ndo ujue yuko ulaya
wivu wa maendealeo huo

chuo kikuu cha udsm ni takataka.hata hiyo namba wamepewa bahati mbaya.nilisoma hapo LAW SCHOOL NILICHOONA NI AIBU TU.VYOO VIBOUU na miundo mbinu ni ya miaka ya sabini.walimu wana roho mbaya kwa sababu ya umaskini na ukimwi.na wanafunzi wa kike makahaba.mtoto wangu atasoma ulaya,south africa au vyuo binafsi. UDSM NI UCHAFU.

mhh, sasa hizo chuki binafsi, au kwa vile umefeli mitihani ya law school, haya tuambie tumain, st.augustin, udom, mzumbe za ngap? Hata kwenye list hazipo.

Siasa zinaua elimu ya tanzania.

Mbona kwenye hiyo list sikuiona Muhimbili University, chuo cha madaktari bingwa???????? bongo bwana eti madaktari bingwa... lol

Mpaka kikwete atokemadarakani nchi imeshaoza hii

Nchi ioze mara ngapi ndugu yangu
hapa chakufanya ni kuipaka mafuta na perfume inukie
ucjali 2tafika 2 frnd na elimu ye2 hii

Na bado tunapoelekea Tanzania itaendelea kushuka mpaka tutalingana na Somalia!
Uwezi kusoma huku unafanya siasa!
Saizi UDSM, ndio chuo tulikuwa tunakitegemea ndio kimekuwa kina matawi ya siasa Magamba na Magwanda

Back
Top Bottom