UDSM yatoa 'kibano' kitakatifu

UDSM yatoa 'kibano' kitakatifu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,137
Reaction score
17,908
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiemtoa masharti makali mno kwa wanafunzi wake waliosimamishwa chuo na sasa wanarudishwa rasmi chuoni.Wanafunzi hao walisimamishwa masomo kwa makosa ya kinidhamu(hasa kushiriki kwenye mgomo chuoni hapo). Nyaraka nilizonazo zinaonesha kuwa,wanafunzi hao wanapaswa kusaini Kiapo na Dhamana(ambayo anasaini mzazi au mlezi) wa mwanafunzi husika.

Kiapo hicho kinamtaka kila mwanafunzi kujigharimia mwenyewe kwa Semista nzima ya kwanza,hata kama anafadhiliwa na Bodi ya Mikopo. Naweka hapa kiapo hicho kinachowaweka hoi wanafunzi hao huku wasihue la kufanya.

Je,hii si adhabu kali kwa wanafunzi hao ya pili baada ya ile ya kusimamishwa masomo kwa semista nzima?
 

Attachments

  • DECLARATION 001.jpg
    DECLARATION 001.jpg
    593.3 KB · Views: 196
Udsm, naona wapo juu ya bodi ya mikopo maana wanawapangia hata jinsi ya kutoa mikopo
 
Hao wanafunzi mbona wako kimya? Wawaone wahusika washughulikie suala hilo...waache kulalama
 
Mikwara hiyo..harakati haziwezi kuisha hapa.
 
HESLB is an independent organ and is not part of UDSM, sidhani kama HESLB wanafanyiwa maamuzi na UDSM. Kama nikikao kiliwekwa kikatoka na hayo maamuzi basi bila shaka wahusika ni UDSM, HESLB NA WANAFUNZI. Otherwise ni blah blah za management ya UDSM.
 
Yaani semister nzima wale hela yako wajaze minyoo kwenye matumbo yao? Ni kama milion hivi, ukiongeza na ada! Aafu waliokuwa wanapiganiwa wapo kimya!
 
Back
Top Bottom