VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,137
- 17,908
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kiemtoa masharti makali mno kwa wanafunzi wake waliosimamishwa chuo na sasa wanarudishwa rasmi chuoni.Wanafunzi hao walisimamishwa masomo kwa makosa ya kinidhamu(hasa kushiriki kwenye mgomo chuoni hapo). Nyaraka nilizonazo zinaonesha kuwa,wanafunzi hao wanapaswa kusaini Kiapo na Dhamana(ambayo anasaini mzazi au mlezi) wa mwanafunzi husika.
Kiapo hicho kinamtaka kila mwanafunzi kujigharimia mwenyewe kwa Semista nzima ya kwanza,hata kama anafadhiliwa na Bodi ya Mikopo. Naweka hapa kiapo hicho kinachowaweka hoi wanafunzi hao huku wasihue la kufanya.
Je,hii si adhabu kali kwa wanafunzi hao ya pili baada ya ile ya kusimamishwa masomo kwa semista nzima?