UDSM yazidi kuchanja mbuga katika nyanja za kimataifa kwa ubora wa elimu

wewe ulidisco,au unadhani ckufahamu?

unanifahamu kwani nakugongaga? By the way sijawai disco mimi wala kukariri darasa unijui ndo mana unaropoka keep on idiot.
 
ila ww nyangi nahisi uliumia sana badala ya kukosa kuchaguliwa UDSM,na wakakupeleka DIT,ndo mana unajaribu kutetea chuo chako,ila wakati unaaply UDSM ilikuwa first choice lakini ukakosa sifa,pole sana

hahahaha,,kwa taarifa yako nilisoma diploma somewhere abroad na bachelor nime apply pale as a private student mimi sijui kuhusu tcu,,,na masters naenda M.I.T trust me wewe utabaki udsm udsm wenzio tuna exposure ya kutosha,,kwenye kampuni ya home kuna wanafunzi wa udsm huja kufanya field ni wabovu hata ma fundi wa veta wana afadhali...we kalia tu kusema udsm,,naongelea coet,,
 
Hakuna cha udsm,wala mzumbe,ukitaka kujua ukweli,njoo huku kazini,alafu angalia product ya udsm ususan katika fan ya uwalimu,utajionea mwenyewe,wengi wao wanafanya kazi chin ya kiwango!...cheti tu,,,na tambo nyingi kwamba mim nimemaliza udsm,,,.sasa weakness zinajionesha maeneo mengi sana,mtu ajui ata preparation ya kaz yake,lakin angalia GPA iko nzuri...,na katoka udsm...sasa nashindwa kushawishika kwamba udsm ndio chuo bora,wapo vilaza pia wanamaliza palepale udsm....,kama kweli udsm wataka heshima yao iwe nzuri,,,waache kutuzalishia vilazaa,,,watu wanaokalili mambo badala ya skills za msingi.sasa hivi vyuo vingi Tz,wanafunz wanapigania GPA,tu.lakin uwelewa wa mambo asa katika sehemu ya kaz[real life ],is a problem to most of the graduates.nawasilisha.:kev:
 
hahahahaaha maliza shule 2kutane mtaani ndo utajua nani bora na nani co bora. kama co mtaani njoo kazin theni urambe unyayo. UDSM HAWAWEZI KUISHINDA UCT HATA SEKUNDE MOJA NA HUYO PRO ALOKUDANGANYA NI KILAZA KAMA WW.
 
Yaan kila siku humu watu wanapga kelele kuhusu ushndan wa vyuo lakn kila siku watu wanakuja na style mpya ya kushndansha vyuo..
Hatukatai na wala hatupend chuo chetu kiwe ktk rank nzur ata kidunia ila cha kujiulza n kwa namna gani kinasidia kuondoa tatzo kubwa la ajira?. i mean graduates wawe na uwezo wa kujiajr
 
hiyo issue ya ajira ni kwa upande wa serikali na siyo chuo,chuo kazi yake ni kutoa products ambao wanaweza kutumika hapa nchini au abroad,pole sana einstein
 
ww black ma colour ni kilaza kweli,nmekulazimisha upost hii thread,najua imekupain sana kuchaguliwa vyuo vya kata afu degree zenu mnapewa tu mezani,uje UDSM shule ni ngumu,nahisi ungedisco first semester
 

2013 WORLD UNIVERSITY WEB RANKING
Top 100 Universities and Colleges in Africa
Top 100 Universities and Colleges in Africa by the
4icu.org University Web Ranking
1 University of South Africa South Africa
2 University of Cape Town South Africa
3 Universiteit Stellenbosch South Africa
4 University of Dar es Salaam Tanzania
5 University of KwaZulu-Natal South Africa
6 University of Pretoria South Africa
7 Cairo University Egypt
8 University of the Witwatersrand South Africa
9 University of the Western Cape South Africa
10 Obafemi Awolowo University Nigeria
11 Makerere University Uganda
12 University of Botswana Botswana
13 Mansoura University Egypt
14 Rhodes University South Africa
15 Alexandria University Egypt
16 The American University in Cairo Egypt
17 Zagazig University Egypt
18 University of Johannesburg South Africa
19 Assiut University Egypt
20 University of Nairobi Kenya
21 Université Cheikh Anta Diop Senegal
22 University of Zambia Zambia
23 North-West University South Africa
24 University of Lagos Nigeria
25 Tanta University Egypt
26 University of Ghana Ghana
27 Université de Ouagadougou Burkina Faso
28 Université Mohammed V - Agdal Morocco
29 Nelson Mandela Metropolitan University South Africa
30 Cape Peninsula University of Technology South Africa
31 Université d'Antananarivo Madagascar
32 Ain Shams University Egypt
33 University of Ibadan Nigeria
34 Kenyatta University Kenya
35 University of Namibia Namibia
36 Universiteit van die Vrystaat South Africa
37 University of Nigeria Nigeria
38 The German University in Cairo Egypt
39 University of Limpopo South Africa
40 Université de la Reunion Reunion
41 University of Khartoum Sudan
42 Benha University Egypt
43 Universidade Eduardo Mondlane Mozambique
44 Helwan University Egypt
45 École Nationale d'Architecture Morocco
46 University of Fort Hare South Africa
47 Université Nationale du Rwanda Rwanda
48 Al Akhawayn University Morocco
49 Université Catholique de l'Afrique de l'Ouest Benin
50 Tshwane University of Technology South Africa
51 Jomo Kenyatta University of Agriculture and
Technology Kenya
52 Minia University Egypt
53 Addis Ababa University Ethiopia
54 Fayoum University Egypt
55 Moi University Kenya
56 University of Ilorin Nigeria
57 October 6 University Egypt
58 South Valley University Egypt
59 Sokoine University of Agriculture Tanzania
60 Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou Algeria
61 Université Mohammed V - Souissi Morocco
62 Al-Azhar University
 

Hata pinda alitokea udsm
 
hiyo issue ya ajira ni kwa upande wa serikali na siyo chuo,chuo kazi yake ni kutoa products ambao wanaweza kutumika hapa nchini au abroad,pole sana einstein

Nkubali but lazma iwaandae graduates ambao hawatategemea tu kuajiriwa so me naona bora mtu asome ata veta kuliko kuwa degree holder alaf uwez kujiajr mwenyew
 
Ila coet haitakuja ione ndani kwa d.i.t,,,,,,since 1957 d.i.t has been the best,,

we m.bw.a ma.p.um.bu ya bibi yako hata siku moja usijaribu kuifananisha D.i.t na CoET. CoET ni level ya kipekee kabisa shetani mkubwa we. Mi ni director wa mechanical & electrical eng. Department kampuni moja kubwa hapa tz, Bsc(Hons), Foe/UDSM. Msc eng. UDSM . Nimerecruit sana , wanafunzi wa udsm wana upeo wa kipekee, tuna mtu 1 tu wa d.i.t na si mzuri sana. Na hata mwezi ujao tunaajiri ila sidhani kama tutapata candidate mzuri ambaye ajatoka udsm/coet
 

Kaka hapo umetisha mtu anaefananisha DIT na CoET ni punguani asiyesaidika kamwe
 
tatizo huyo nyangi m.a ni kilaza ndo mana hajachaguliwa UDSM,bahati yako ungedisco first semester,bora umechaguliwa chuo cha kata,kwanza utakula bata afu unatoka na GPA kali sana tena ya first class,ila ukishamaliza degree yako hyo nahisi utajutia kitaani
 
big up sana handsome one kwa kuwajulisha hawa vijana wa kizazi cha mulugo
 

mmmmh matusiii mengi,sielewi,,,haina noma ni kutokana na upeo wako na wa kampuni yako,,,,nimekuwa kwenye engineering bussiness(civil and building) for years though not directly involved and what am talking is the reality,,,,dude naona uko proud na hons ya udsm na masters ya udsm,,ngoja tukuletee masters ya M.I.T,,kuna jamaa mmoja ana masters ya udsm,bachelor naye ana hons ila kazi zake anazosimamia in his class 4 company utacheka,,,,,,acha kushabikia na kuropoka am talking what i know,,mtu wa udsm kuwa bora it takes not less than 5yrs of experince,,hii nimeona na kushudia by my eyes,,,,Mr.Director wa Dept una safari ndefu tena sana kuanza kunitukana matusi am not your fellow,,,
 

mmmh nyangi kilaza,,i pray any of my teachers asikie hili sijui atakuonaje,,hey dude,D.I.T ni chuo cha kata,mmh poa lakini nataka nione G.P.A yako kijana wa heslb unadhani wote tunachaguliwa kama wewe na kubaki kutambiana kwenye thread,,,ka kitaa tutakutana kijana ila usitukane mamba kabla hujavuka mto,,,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…