bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
wewe ulidisco,au unadhani ckufahamu?
unanifahamu kwani nakugongaga? By the way sijawai disco mimi wala kukariri darasa unijui ndo mana unaropoka keep on idiot.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe ulidisco,au unadhani ckufahamu?
ila ww nyangi nahisi uliumia sana badala ya kukosa kuchaguliwa UDSM,na wakakupeleka DIT,ndo mana unajaribu kutetea chuo chako,ila wakati unaaply UDSM ilikuwa first choice lakini ukakosa sifa,pole sana
Fundi mchundo na injinia wapi na wapi!
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na akadokeza kuwa ilitakiwa tuwe wa kwanza ila watu wanavyotumia vigezo vya kupanga ranking ni vya kishamba lakini kitaaluma tuko juu.
-------..UDSM hakuna kilaza kama wewe. Hata kuandika insha ya Kiswahili inakushinda!
ww mwanafunz wa teku ebu kmya acha wanaudsm 2changie hapa
kwa ripoti niliyopata kutoka kwa profesa mmoja wa UDSM ni kuwa katika ranking za vyuo bora Afrika kwa kuwa nafasi ya tatu na siyo sita kwa South Africa kuwa mbele kwa nafasi mbili zaidi za juu,na akadokeza kuwa ilitakiwa tuwe wa kwanza ila watu wanavyotumia vigezo vya kupanga ranking ni vya kishamba lakini kitaaluma tuko juu.
hata mseme vipi UDSM bado iko juu,nyie mnaosoma vyuo vyenu hvyo vya kata,najua mliapply na UDSM ilikuwa first choice lakini kutokana na matokeo yenu mabovu mnaanza kukiponda chuo,chuo kinatoa product nzuri ndani na nje ya nchi,kwhyo km huna cha kupost kaa kimya,wanaUDSM ndo watajibu hili
hiyo issue ya ajira ni kwa upande wa serikali na siyo chuo,chuo kazi yake ni kutoa products ambao wanaweza kutumika hapa nchini au abroad,pole sana einstein
Ila coet haitakuja ione ndani kwa d.i.t,,,,,,since 1957 d.i.t has been the best,,
we m.bw.a ma.p.um.bu ya bibi yako hata siku moja usijaribu kuifananisha D.i.t na CoET. CoET ni level ya kipekee kabisa shetani mkubwa we. Mi ni director wa mechanical & electrical eng. Department kampuni moja kubwa hapa tz, Bsc(Hons), Foe/UDSM. Msc eng. UDSM . Nimerecruit sana , wanafunzi wa udsm wana upeo wa kipekee, tuna mtu 1 tu wa d.i.t na si mzuri sana. Na hata mwezi ujao tunaajiri ila sidhani kama tutapata candidate mzuri ambaye ajatoka udsm/coet

Kaka hapo umetisha mtu anaefananisha DIT na CoET ni punguani asiyesaidika kamwe
tatizo huyo nyangi m.a ni kilaza ndo mana hajachaguliwa UDSM,bahati yako ungedisco first semester,bora umechaguliwa chuo cha kata,kwanza utakula bata afu unatoka na GPA kali sana tena ya first class,ila ukishamaliza degree yako hyo nahisi utajutia kitaani