Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,266
- 8,085
Kama mtu bado ana fikra za namna hii (chuo flani ni bora kuliko kingine) basi naweza kusema anahitaji ukombozi wa kifikra kwa kifupi hajaelimika na elimu yake haijamsaidia. Kutambua uwepo wa hizi Univ.Ranking na kwamba chuo gani ni no. ngapi ni sawa kabisa but kama ukitake this as an advantage na ukajiona kuwa wewe ni bora kwa kuwa umemaliza katika chuo bora tena kwa kigezo hichi cha Ranking basi you are totally wrong kwani kugraduate katika chuo bora hakumaanishi kuwa na wewe ni bora.Ukiweza kufafanua ni kwa namna gani vigezo vilivyotumika katika Ranking vina uhusiano gani katika kutoa best graduate ntakubaliana na wewe.Ukifuatilia katika interviews haiangaliwi kuwa umesoma wapi bali unajua nini(though sikatai zipo baadhi ya sehemu za kazi kuwa shortlisted umesoma wapi inaweza kukubeba) , Ni sawa umesoma chuo flani unachoamini kuwa ni bora then prove that you are good.Ni ukweli usiopingika katika nchi nyingi kuna chuo kinachokuwa na hadhi ya juu na publically well known either kulingana na Historia or other reasons(nimebahatika kusoma nchi nyingine na nimeliona hili) kwa mfano hapa Tanzania ni udsm,but hii haimaanishi kuwa ukisoma udsm basi automatically you are good.Unaeza kuwa umesoma ktk chuo unachoamini kuwa ni bora lakini usipofanya personal efforts na kuwa creative then utaishia kukariri yale ya darasni na kufaulu mitihani tu na mwisho wa siku utagraduate withouth enough skills kuingia ktk soko la Ajira(huku kichwani ukiwa na ideology kuwa umemaliza chuo bora).
kwa hiyo Cambridge University=UDSM=Tumaini=Muslim Univ of Morogoro???!!!!