Udsm yazidi kutesa mitihani ya nbaa-cpa(t)

Udsm yazidi kutesa mitihani ya nbaa-cpa(t)

ni nani mCCM ambaye hajasoma UDSM? Jakaya, Sita, Lowassa...waandika mikataba mibovu wote wizara ya sheria na katiba, wizara ya madini, akina chenge wote ni UDSM....kama ni kuikwepa CCM tuikwepe...lakini huwezi kupinga kuwa mafisadi na wezi wote wa mali ya umma wote hapa nchini ni wasomi wa UDSM.
CHENGE --Havard University the no.1 in world university ranking
 
Na sisi wanaUDSM tumezidi ukiritimba, kujilinganisha na makapa ni sawa na kujidhalilisha, level zetu ni akina zulu natal, pretoria, joharnesburg nk nk...
 
Read behind data mkuu! otherwise utaonekana na wewe ndio walewale. Wasaidie na wenzako hapo juu kuwa nanukuu "On the other hand, the following four institutions have a good number of candidates who have registered and sat for Module E examinations as follows: Tanzania Institute of Accountancy (18.8%), Institute of Finance Management (16.8%), University of Dar es Salaam (12.6%) and Mzumbe University (8.6%). These institutions have registered about 56.8% of total candidate sitting for Module E."

If you can't get an insight of simple report like this, then
forget CPA and end up being a clerk.
Yaani wewe ni mjinga halafu hujijui kama ni mjinga. Angalia hapo nilipokuwekea RED colour. Good number unayoiongelea ipo kwa mitihani ya Module E Matokeo yaliyoainishwa in terms of number of candidates ambayo ndio base ya mfano wangu ni ya Module F. Usikurupuke kijana, na usipende kufanya analysis kwa kutumia percent or average. They are highly misleading, always ask for raw data.
 
kaburu huyu Kingmairo ndo hawa kupata division five za Kawambwa, wanasoma wanarukaruka kama vile anapigwa mawe kama RIP Mabina.

Hapa tunabishana kwa hoja zilizosaidiwa na takwimu, angalau mwenzako kafetch hata takwimu kidogo kusupport hoja yake kwanini hakubaliani na mimi. Sasa wewe unaleta taarabu hapa kama khadija Koppa, au nyie ndo watoto wa Ndiooo kama wabunge wa kijani? haya katafute nimemjibu mwenzio kule. Halafu urudi hapa, kama utakuwa umepata akili
 
Hebu acheni ujinga udsm siku hz nafuu ya teku ambayo ilikuwa ilikuwa ktk rank ya chn sana, tupo nao kazini utadhani hata 1st yr hawajagusa... more than danger!
 
Hebu acheni ujinga udsm siku hz nafuu ya teku ambayo ilikuwa ilikuwa ktk rank ya chn sana, tupo nao kazini utadhani hata 1st yr hawajagusa... more than danger!

hyo teku mbona kwenye rank za nbaa haipo?k.u.m.a wewe..
 
Yaani wewe ni mjinga halafu hujijui kama ni mjinga. Angalia hapo nilipokuwekea RED colour. Good number unayoiongelea ipo kwa mitihani ya Module E Matokeo yaliyoainishwa in terms of number of candidates ambayo ndio base ya mfano wangu ni ya Module F. Usikurupuke kijana, na usipende kufanya analysis kwa kutumia percent or average. They are highly misleading, always ask for raw data.

Sasa, wewe usiye mjinga umefuatilia ni kwa nini NBAA wametoa data za waliojiandikisha Mod E na si Mod F? Tafakari utaona kuwa hizo zote ni Final Stage unaweza kuzipiga kwa pamoja zote sita, kwa hiyo zina entry point moja. Sasa kama wewe sio mjinga bandika hapa statistical reason ya NBAA kutumia data ya Mod E. Otherwise wewe ndio walewale wanaotanguliza matusi.
 
Hao wanafunzi wa kibongo mnaowasifia mbona siwaoni kwenye international stage ? Maana tusije tukawa tunasoma mambo Yale Yale tunatoa mitihani mlemle na wasahihishaji ni wale wale af watoto wanakariri na kufaulu mwisho tunawaona wana akili .. akili ni kitu tofauti kabisa and I advice u msiendelee Ku judge Kwa hizi exams za CPA au psptb .. most of the questions ni copy and paste tena from past papers , nimeangalia Hii mitihani nikailinganisha na ya UK , ca na cips , isee sisi tunacheza maswali yetu ni very lame and cheap mtu anaweza kukaa ghetto akakesha mwisho akafaulu then unamwita mtaalam ? Shame ... wenzetu wamejaza case studies na practical issues ambayo ndo real education ... ! May be I should ask u a simple question ni watanzania wangapi wamepata hata kuajiriwa nje ya nchi Kwa Kazi za auditing , accounts and finance au procurement ?? Hapo utapata majibu very clear
 
Dah una compaire Udsm na TIA na IFM ,
Module E
UdSm waliofsulu ni 20.2%, IFM wana 16.1%, TIA waliofaulu ni 16.1. Hao ndio tatu bora.

Module F.
UDSM waliofaulu ni 24.3, IFM waliofaulu ni 19.5 na TIA waliofaulu ni 9.5.

nafikiri kwa hivyo vyuo 3 sioni muachano mkubwa....
 
mimi nasoma mzumbe university-law ,kiukweli UDSM ni baba lao walimu wa kutosha,inachukua vipanga wengi
 
mimi nasoma mzumbe university-law ,kiukweli UDSM ni baba lao walimu wa kutosha,inachukua vipanga wengi

Wakati tuajifunza critical thinking and argumentation PL I Lwaitama alikuwa anatuelekeza na sasa ninaona kwenye vitendo kuwa maandishi tu yanaweza kuaidentify mtu na capacity thinking yake kuwa mwandishi hapo juu ni LL.B 1 schaal of law UDSM
 
Kuna takwimu ya muhimu sana hukuionesha na labda ndo sababu ya kuzificha hizo table. Hii ni idadi ya walijiregister toka kila chuo (wangapi wamejiregister, wangapi wamefeli na wangapi ndo waliofaulu). Ukiangalia mathalani matokeo ya module F utaona walifaulu toka UDSM ni 112 ambayo ni sawa na 24.3% ya wote waliofaulu SIO YA WALIOJI-REGISTER, hivyo hivyo kwa IFM ni 90, TIA ni 44 na Mzumbe ni 39.
Hoja yangu ni ipi?
Ni kutaka kujua wamefaulu 112 (UDSM) kati ya wangapi?, 90 (IFM) kati ya wangapi? 44 (TIA) kati wa wangapi? etc. Ukicheza na percent huwezi ona mantiki hii lakini ukizichambua idadi kamili ndo utaelewa. Mfano kama IFM wamefaulu 90 kati ya 140 walijiandikisha na UDSM wamefaulu 112 kati ya 250 huwezi ukipiga percent kwa chuo (pass vs fail) utaona wenye wanafunzi wachache wana pass rate nzuri. So tulitee hizo table ili kuone enrollment ilikuwaje kama hatujamwaga sifa au kukosoa vigezo vilivyotumika

tunataka argument kama hizi
 
JAMANI MBNA SIWAELEWIII,HILO TOKEO KWELI LIMETOKA AU MNAKUMBUSHIA MIAKA YA NYUMA??
UDsm TUENDELEE NA MOYO HUO HUO
 
Hehheh,mhh watu mnaponda humu jmnn...ila MKUBALI MKATAE..KUWA NA CPA BADO DILI APA MJINI
 
Module E
UdSm waliofsulu ni 20.2%, IFM wana 16.1%, TIA waliofaulu ni 16.1. Hao ndio tatu bora.

Module F.
UDSM waliofaulu ni 24.3, IFM waliofaulu ni 19.5 na TIA waliofaulu ni 9.5.

nafikiri kwa hivyo vyuo 3 sioni muachano mkubwa....

Huoni kimahesabu ifm ni bora kuliko udsm ukiangalia idadi ya graduate wanaotoka.
 
Hao wanafunzi wa kibongo mnaowasifia mbona siwaoni kwenye international stage ? Maana tusije tukawa tunasoma mambo Yale Yale tunatoa mitihani mlemle na wasahihishaji ni wale wale af watoto wanakariri na kufaulu mwisho tunawaona wana akili .. akili ni kitu tofauti kabisa and I advice u msiendelee Ku judge Kwa hizi exams za CPA au psptb .. most of the questions ni copy and paste tena from past papers , nimeangalia Hii mitihani nikailinganisha na ya UK , ca na cips , isee sisi tunacheza maswali yetu ni very lame and cheap mtu anaweza kukaa ghetto akakesha mwisho akafaulu then unamwita mtaalam ? Shame ... wenzetu wamejaza case studies na practical issues ambayo ndo real education ... ! May be I should ask u a simple question ni watanzania wangapi wamepata hata kuajiriwa nje ya nchi Kwa Kazi za auditing , accounts and finance au procurement ?? Hapo utapata majibu very clear

Baada ya comment hii sikuratajia kuona comment zingine za kipuuzi za kulinganisha nani bora na nani sibora.ila kwa kua watanzania tuna viriba vya roho naona zinaendelea tuu...
by the way huyu jamaa hapa ameelezea kiakili zaidi na kisomi zaidi tofauti na huyo anae tuletea mambo ya kijinga eti chuo gani ni bora zaidi-utoto tu.
Mwl.nyerere aliwahi sema kua zambi ya kubagua watu ni sawa na kula nyama ya mtu,huwezi acha kamwe....mtoa maada akishamaliza kubagua vyuo vingine ataanza kubagua hata wana-udsm wenyewe mf:kozi bora kuliko zote,intake bora kuliko zote,wale wa kampasi na wa vyuo vishiriki,walimu bora,n.k
Kwahiyo ndugu zangu ebu fanya yale yaliyo yako na achana na ya wengine cha msingi kuheshiniana na tusibaguane....
 
Hao wanafunzi wa kibongo mnaowasifia mbona siwaoni kwenye international stage ? Maana tusije tukawa tunasoma mambo Yale Yale tunatoa mitihani mlemle na wasahihishaji ni wale wale af watoto wanakariri na kufaulu mwisho tunawaona wana akili .. akili ni kitu tofauti kabisa and I advice u msiendelee Ku judge Kwa hizi exams za CPA au psptb .. most of the questions ni copy and paste tena from past papers , nimeangalia Hii mitihani nikailinganisha na ya UK , ca na cips , isee sisi tunacheza maswali yetu ni very lame and cheap mtu anaweza kukaa ghetto akakesha mwisho akafaulu then unamwita mtaalam ? Shame ... wenzetu wamejaza case studies na practical issues ambayo ndo real education ... ! May be I should ask u a simple question ni watanzania wangapi wamepata hata kuajiriwa nje ya nchi Kwa Kazi za auditing , accounts and finance au procurement ?? Hapo utapata majibu very clear

Wazo zuri sana, hawa akina kanga waje wajibu hoja huku!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom