Udsm yazidi kutesa mitihani ya nbaa-cpa(t)

Udsm yazidi kutesa mitihani ya nbaa-cpa(t)

We think Globally and we act Globally with ACCA, CPA (T) can not cross the border of Tz
 
mimi nasoma mzumbe university-law ,kiukweli UDSM ni baba lao walimu wa kutosha,inachukua vipanga wengi
naona bado hujaamka...pitia hapa..
Hao wanafunzi wa kibongo mnaowasifia mbona siwaoni kwenye international stage ? Maana tusije tukawa tunasoma mambo Yale Yale tunatoa mitihani mlemle na wasahihishaji ni wale wale af watoto wanakariri na kufaulu mwisho tunawaona wana akili .. akili ni kitu tofauti kabisa and I advice u msiendelee Ku judge Kwa hizi exams za CPA au psptb .. most of the questions ni copy and paste tena from past papers , nimeangalia Hii mitihani nikailinganisha na ya UK , ca na cips , isee sisi tunacheza maswali yetu ni very lame and cheap mtu anaweza kukaa ghetto akakesha mwisho akafaulu then unamwita mtaalam ? Shame ... wenzetu wamejaza case studies na practical issues ambayo ndo real education ... ! May be I should ask u a simple question ni watanzania wangapi wamepata hata kuajiriwa nje ya nchi Kwa Kazi za auditing , accounts and finance au procurement ?? Hapo utapata majibu very clear
 
Jamani wa moja ni moja tu hawezi kuwa mbili na siku zote kilicho bora zaidi kinazidi kujitenga na pumba.UDSM imendelea kutoa wasomi waliobobea na kutambulika na bodi ya uhasibu (NBAA) kwa kipindi kirefu sasa, wakati vyuo vingine vikifuata kwa mbali. Hata hivyo Chuo kikuu cha Kata bado hakipata kutoa mtaalamu wa aina hiyo japo kuna vyuo vingine vikongwe ambavyo navyo kama wasindikazaji kama makarani wa mahesabu na Ukaguzi.source/NBAA/2013/ INSTITUTIONAL ASSESSEMENT REPORT

wewe hapo ulipo una nini?? kazi kusifia chuo tu.. elimika ndugu!
 
Duh!ina maana TIA nayo imeipiga bao mzumbe?

TIA inawanafunzi 500 kila mwaka wakati mzumbe ina wanafunzi 150, sasa takwimu za NBAA si za kisomi maana zenyewe zinaangalia idadi ya waliofaulu bila kuangalia na idadi ya waliofanya mitihani kutoka chuo husika.
 
Na sisi wanaUDSM tumezidi ukiritimba, kujilinganisha na makapa ni sawa na kujidhalilisha, level zetu ni akina zulu natal, pretoria, joharnesburg nk nk...

Watoto wa shule za kata na division three hamjielewi
 
Duh!ina maana TIA nayo imeipiga bao mzumbe?

TIA iko juu sana kwa accounting & procurement usi under rate; Mfano kwa sasa wanatoa degree kali ya "Public sector accounting and finance"
 
Back
Top Bottom