pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
CHENGE --Havard University the no.1 in world university rankingni nani mCCM ambaye hajasoma UDSM? Jakaya, Sita, Lowassa...waandika mikataba mibovu wote wizara ya sheria na katiba, wizara ya madini, akina chenge wote ni UDSM....kama ni kuikwepa CCM tuikwepe...lakini huwezi kupinga kuwa mafisadi na wezi wote wa mali ya umma wote hapa nchini ni wasomi wa UDSM.
Yaani wewe ni mjinga halafu hujijui kama ni mjinga. Angalia hapo nilipokuwekea RED colour. Good number unayoiongelea ipo kwa mitihani ya Module E Matokeo yaliyoainishwa in terms of number of candidates ambayo ndio base ya mfano wangu ni ya Module F. Usikurupuke kijana, na usipende kufanya analysis kwa kutumia percent or average. They are highly misleading, always ask for raw data.Read behind data mkuu! otherwise utaonekana na wewe ndio walewale. Wasaidie na wenzako hapo juu kuwa nanukuu "On the other hand, the following four institutions have a good number of candidates who have registered and sat for Module E examinations as follows: Tanzania Institute of Accountancy (18.8%), Institute of Finance Management (16.8%), University of Dar es Salaam (12.6%) and Mzumbe University (8.6%). These institutions have registered about 56.8% of total candidate sitting for Module E."
If you can't get an insight of simple report like this, then forget CPA and end up being a clerk.
Hebu acheni ujinga udsm siku hz nafuu ya teku ambayo ilikuwa ilikuwa ktk rank ya chn sana, tupo nao kazini utadhani hata 1st yr hawajagusa... more than danger!
Yaani wewe ni mjinga halafu hujijui kama ni mjinga. Angalia hapo nilipokuwekea RED colour. Good number unayoiongelea ipo kwa mitihani ya Module E Matokeo yaliyoainishwa in terms of number of candidates ambayo ndio base ya mfano wangu ni ya Module F. Usikurupuke kijana, na usipende kufanya analysis kwa kutumia percent or average. They are highly misleading, always ask for raw data.
Module E
UdSm waliofsulu ni 20.2%, IFM wana 16.1%, TIA waliofaulu ni 16.1. Hao ndio tatu bora.
Module F.
UDSM waliofaulu ni 24.3, IFM waliofaulu ni 19.5 na TIA waliofaulu ni 9.5.
nafikiri kwa hivyo vyuo 3 sioni muachano mkubwa....
Wametesa nini sasa? Mivumbi iko pale pale. Vikwapa vipo pale pale. Adha zote zipo pale pale.
What's the big deal na huko kutesa kwenye mitihani?
hyo teku mbona kwenye rank za nbaa haipo?k.u.m.a wewe..
mimi nasoma mzumbe university-law ,kiukweli UDSM ni baba lao walimu wa kutosha,inachukua vipanga wengi
Kuna takwimu ya muhimu sana hukuionesha na labda ndo sababu ya kuzificha hizo table. Hii ni idadi ya walijiregister toka kila chuo (wangapi wamejiregister, wangapi wamefeli na wangapi ndo waliofaulu). Ukiangalia mathalani matokeo ya module F utaona walifaulu toka UDSM ni 112 ambayo ni sawa na 24.3% ya wote waliofaulu SIO YA WALIOJI-REGISTER, hivyo hivyo kwa IFM ni 90, TIA ni 44 na Mzumbe ni 39.
Hoja yangu ni ipi?
Ni kutaka kujua wamefaulu 112 (UDSM) kati ya wangapi?, 90 (IFM) kati ya wangapi? 44 (TIA) kati wa wangapi? etc. Ukicheza na percent huwezi ona mantiki hii lakini ukizichambua idadi kamili ndo utaelewa. Mfano kama IFM wamefaulu 90 kati ya 140 walijiandikisha na UDSM wamefaulu 112 kati ya 250 huwezi ukipiga percent kwa chuo (pass vs fail) utaona wenye wanafunzi wachache wana pass rate nzuri. So tulitee hizo table ili kuone enrollment ilikuwaje kama hatujamwaga sifa au kukosoa vigezo vilivyotumika
Module E
UdSm waliofsulu ni 20.2%, IFM wana 16.1%, TIA waliofaulu ni 16.1. Hao ndio tatu bora.
Module F.
UDSM waliofaulu ni 24.3, IFM waliofaulu ni 19.5 na TIA waliofaulu ni 9.5.
nafikiri kwa hivyo vyuo 3 sioni muachano mkubwa....
Hao wanafunzi wa kibongo mnaowasifia mbona siwaoni kwenye international stage ? Maana tusije tukawa tunasoma mambo Yale Yale tunatoa mitihani mlemle na wasahihishaji ni wale wale af watoto wanakariri na kufaulu mwisho tunawaona wana akili .. akili ni kitu tofauti kabisa and I advice u msiendelee Ku judge Kwa hizi exams za CPA au psptb .. most of the questions ni copy and paste tena from past papers , nimeangalia Hii mitihani nikailinganisha na ya UK , ca na cips , isee sisi tunacheza maswali yetu ni very lame and cheap mtu anaweza kukaa ghetto akakesha mwisho akafaulu then unamwita mtaalam ? Shame ... wenzetu wamejaza case studies na practical issues ambayo ndo real education ... ! May be I should ask u a simple question ni watanzania wangapi wamepata hata kuajiriwa nje ya nchi Kwa Kazi za auditing , accounts and finance au procurement ?? Hapo utapata majibu very clear