Udukuzi Kwa Njia ya Matangazo ya Zawadi

Udukuzi Kwa Njia ya Matangazo ya Zawadi

Ghost MVP

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2022
Posts
439
Reaction score
736
Uwapo kwenye Tovuti (website) Usifungue matangazo ya Zawadi wala kujaza taarifa zako kwenye Tovuti usiyoiamini
1721813405948.png


watu wengi wamekuwa wakirubuniwa na Matangazo ya Zzawadi yanayo onekana kwenye Tovuti.

Wanapoyagusa yanawahitaji kujaza taarifa zao Binafsi kama Email, passowrd, Majina kamili, Taarifa za Kibenki, mwaka wa kuzaliwa na hata Vyeti wakidai utajipatia Zawadi hiyo.

Matangazo hayo sio ya kweli na hutumiwa kumdukua mtu anayetumia Tovuti, na kujipatia Taarifa Binafsi za mtu huyo ambazo hutumika vibaya na wahalifu wa Mtandaoni, kufikia Kifaa chako, Taarifa zako za Kifedha na kujikuta wametapeliwa Bila kujua
 
Back
Top Bottom