Udumavu wa akili unaiweka Afrika nyuma kwenye mambo mengi ya muhimu ya kidunia

Udumavu wa akili unaiweka Afrika nyuma kwenye mambo mengi ya muhimu ya kidunia

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
6,406
Reaction score
12,736
Ili Afrika iweze kuendelea sawa na sehemu kubwa ya dunia ifanyavyo basi ni vyema ikakabiliana na changamoto kubwa ya udumavu wa akili unao ikumba sehemu kubwa ya watu hasa kusini mwa jangwa la Sahara.

Viongozi wanao lalamikiwa kuwa viongozi wasiofaa ndio hao hao waliopo na wanaotoka katika jamii kubwa ya watu wenye udumavu wa akili.
 
Vyama kama CCM,Chadema,C.U.F,ACT n.k vimeundwa na wanachama wengi walio na tatizo kubwa la udumavu wa akili.
 
Nchi kama Tanzania,Kenya,Uganda,Malawi n.k zimejaza utitiri wa watu wenye udumavu wa akili.
 
Uko sahihi kabisa mfano ATCL mpaka leo wanaona ndege ku delay saa moja ni standard operating procedure ukitaka kuhakikisha hili kaulizie ndege za ATCL za kwenda zambia. Zimbabwe. Drc congo. Ni kawaida delay ya one.hour.

Ili hali kuna supporting staff wanalipwa na ceo analipwa vizuri tuu
 
Back
Top Bottom