Bongotunacheza
JF-Expert Member
- Dec 7, 2018
- 983
- 2,306
Kucheza mechi maana yake ni kumpa mganga hela aroge mechi timu yako ishinde. Watu walivyo kuwa na akili duni wanatoa kabisa hela zao yani.
Waache kuroga mechi wachezaji ambao Simba na Yanga zinawalipa mamilioni uende ukaroge wewe ambae hupati chochote kutoka timu hizo? Hiyo ni akili ama makamasi?
Mwafrika ni lini utakuwa na akili wewe?
Anyways hizo hela mnazo toa kwa watu wa " Kamati" za ufundi za matawi mnapigwa tu mabwege nyie.. Wanaenda kupika pilau majumbani mwao.
Kama wana taka " Kuroga mechi" Kwa nini wasiende kwa Injinia au Mo.