UE yafutwa chuo kikuu SEKOMU kwa mwaka wa tatu education

UE yafutwa chuo kikuu SEKOMU kwa mwaka wa tatu education

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
Baada ya viashiria vya kutosha kuwa mitihani yote ambayo ilikuwa imeishafanyika na ambayo ilikuwa haijafanyika kuwa nje kama soft copy naibu makamu wa chuo hicho DVC ARC ameamua kuifuta hiyo mitihani na kuamua itungwe upya na kufanyika upya kuanzia tarehe 16/02/2015,

na ni mitihani ya kumaliza semester ya tano jwa mwaka watatu na tume imeundwa kwa ajili ya uchunguzi kutoka vyanzo vya kuaminika mitihsni hiyo ilitolewa yote kwa CR wa darasa na kusambazwa kwa watu mashuhuri hapo chuoni akiwemo mzee ihonde,

hans kalamba kwa watu wa mjini i meam kwa wanaachuo wa mwaka wa tatu wote wanao kaa lushoto mjini, mlamla kwa watu wa cost, bondeni mafam lucy mlack, mshelemule chibwi joramu kilaza kinachosoma political science, ally rama akiwakilisha watu wa kwa bibi marium,

aloyce akiwakilidha akinamangi na mwangosi
 
Chuo ni kimoja tu kwasasa tz ambacho ni UDOM
 
Kwa maana ya chuo kikuu kimoja tu cha kata kwa sasa tz ni UDOM utakuwa sawa kabisaa, I mean hujakosea

Naona SEKOMU yako haijakukomboa mpaka unaongeza maneno ambayo kwenye post yangu sjaweka. Ideology ya kata ilianza pale hizi shule mpya za serikali zilipoanzishwa ambazo zilijengwa ktk kila kata, na upungufu wa walimu, madarasa, maabara, maktaba na other learning materials ndo dhihaki ya kuitwa shule za kata zikanza ktu ambacho ni kweli kabisa. Back to Udom njo na sababu angalau moja inayokufanya uite chuo cha kata tena ni kata ipi hiyo. Pia njoo na source plz unless otherwise muache wizi wa UE elimu ya chuo sio ngumu kiivo mpaka muibe mitihana. Shameless you n ur SEKOMU.
 
Hahahahahaahaa we kwa akili yako fupi kama maisha ya funza unadhani hiyo product inayotoka kwenye hizo shule za kata ingeishia chuo gan kama udom isingejengwa? Naona unatoa povu bila sababu
 
Hahahahahaahaa we kwa akili yako fupi kama maisha ya funza unadhani hiyo product inayotoka kwenye hizo shule za kata ingeishia chuo gan kama udom isingejengwa? Naona unatoa povu bila sababu
Huna hoja ya kuita Udom km unavyoita, wenzio wenye akili timamu walikuja na sababu kuwa badhi ya kozi hawafany field pale, ivo products zao zinakuwa shallow ktu ambacho ni kweli. Unafiri wanafunzi wote udom wametoka kata skuli ? Unafikiri TCU inangalia huyu kasoma shule gan aende chuo gan ? Nmesoma privates schools na nmepita UDOM. wewe dada wa SEKOMU UE umeiba, iba sasa na maswali ya usaili uwasaidie ndugu na jamaa zako wapate placements kirahisi.
 
Back
Top Bottom