KILLANEKELI
JF-Expert Member
- Nov 26, 2013
- 295
- 121
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa si kweli
Na hoja yako ya udini haina mashiko, mimi ni mkristu kwenye department niliyokuwepo kulikuwa kuna wahadhiri wa tatu wa kiislamu wawili ni product ya udsm na mmoja kasoma nje anaitwa Natasha Issa Shivji ni wahadhiri wazuri sijapata kuona, umesikia we boya
Usitumie udhaifu mdogo kupotosha watu kwa jumuiya nzima ya wana UDOM..wewe kwanini hukusima Udsm? nini kilikupelekea ukachagua UDOM? hebu pata 1st clasa nawewe ukadisco mlimani,, acha dharau zako za kipuuzi wewe...mbumbumbu wa kwanza ni wewe usiekipenda cha nyumbani na kukisifia cha.jirani ambacho hakijusaidii..kama wewe mwanaume fikisha malalamiko yako kwa uongozi wa chuo uuone moto..
Mmmh kumbe udom taaluma sio jambo La serious nitamwambia mtoto wangu asichague hicho chuo'
udom bado ni chuo kichanga makini, tatizo udini ndio una kitesa kile chuo.
Acha kuendekeza udini kilaza wewe, mimi ni mkristu na nimesoma apo naijua udom kushinda ata wewe kilaza ambae shule imekushinda unaanza tafuta visingizio
Kumbe Mama Sawa Sawa yupo UDOM? Alikuwa UDSM miaka ya nyuma. Ukileta copy za Dissertation akufanyie vipimo lazima jasho likutoke. Hata ikizidi cm moja umeumia.
ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
pakkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
nafunga mjadalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tumeshamaliza UE sasa twende nyumbani tukale ugali wa bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mkuu pana udini hiki chuo sijapata kuona, ukija ijumaa unaweza ukafikiri upo afghanstani, yaani nahisi kuna wanachuo wanadahiliwa bakwata sio bure
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa siami