UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

UE za UDOM bwana!! Haya bwana!!

Na hoja yako ya udini haina mashiko, mimi ni mkristu kwenye department niliyokuwepo kulikuwa kuna wahadhiri wa tatu wa kiislamu wawili ni product ya udsm na mmoja kasoma nje anaitwa Natasha Issa Shivji ni wahadhiri wazuri sijapata kuona, umesikia we boya
 
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa si kweli

Ni kweli wamesoma UDSM ila ni mambulumundu.
 
Na hoja yako ya udini haina mashiko, mimi ni mkristu kwenye department niliyokuwepo kulikuwa kuna wahadhiri wa tatu wa kiislamu wawili ni product ya udsm na mmoja kasoma nje anaitwa Natasha Issa Shivji ni wahadhiri wazuri sijapata kuona, umesikia we boya

Sawa mi boya ila na wewe ni mmojawapo wa hao mambulumundu waliopo hapa UDOM, nakufanyia utafiti ili nikuchane.
 
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa siami
 
Usitumie udhaifu mdogo kupotosha watu kwa jumuiya nzima ya wana UDOM..wewe kwanini hukusima Udsm? nini kilikupelekea ukachagua UDOM? hebu pata 1st clasa nawewe ukadisco mlimani,, acha dharau zako za kipuuzi wewe...mbumbumbu wa kwanza ni wewe usiekipenda cha nyumbani na kukisifia cha.jirani ambacho hakijusaidii..kama wewe mwanaume fikisha malalamiko yako kwa uongozi wa chuo uuone moto..

We unakifahamu chuo cha UDOM au unakisikia? Hiki chuo hakuna malalamiko utakayoyafikisha kwenye uongozi ukasikilizwa labda uwe unawalalamikia Chadema ndio watafanyia kazi fasta kwa kuwa ni chuo cha CCM. Kuna wakati walimu waliamua kugoma wakimlalamikia Prof Mlacha, walifukuzwa wote waliokuwa mstari wa mbele na mlacha kabaki mpaka kesho. we unaongea nini? ufikishe malalamiko yako wapi? saa hizi ni kuchanana tu
 
we boya mi nilishagraduate apo kitambo nina kazi yangu tayali na kwenye usahili niliwagalagaza product za vyuo vingine kikiwemo icho unachokisifia soma mjinga wewe
 
Mmmh kumbe udom taaluma sio jambo La serious nitamwambia mtoto wangu asichague hicho chuo'

Ukitaka kujua kuwa walimu wengi wa UDOM ni feki angalia kuna mitihani ya UE imebidi ihairishwe baada ya principal wa college ya .... kuishitukia iko chini ya kiwango mno, akaamua kuitisha daftari la CR wa darasa ili aone topic walizofundishwa darasani ni zipi. Lakini huo mtihani ulishapitishwa kwenye seneti, sasa jiulize hiyo seneti walikaa mambulumundu wa type gani?
 
Ona sasa unavyozidi kutuonyesha upumbavu wako, mtihani kukidhi vigezo au kutokidhi vigezo huamuliwa na External examiner si seneti, kilaza we
 
udom bado ni chuo kichanga makini, tatizo udini ndio una kitesa kile chuo.

mkuu pana udini hiki chuo sijapata kuona, ukija ijumaa unaweza ukafikiri upo afghanstani, yaani nahisi kuna wanachuo wanadahiliwa bakwata sio bure
 
External examiner ndo wananguvu ya kuruhusu mtihan ufanyike kama umekidhi vigezo na baada ya matokeo hukagua kama haki imetendeka, seneti wengi ni watawala si wanataaluma umesikia kilaza wewe
 
Acha kuendekeza udini kilaza wewe, mimi ni mkristu na nimesoma apo naijua udom kushinda ata wewe kilaza ambae shule imekushinda unaanza tafuta visingizio
 
Acha kuendekeza udini kilaza wewe, mimi ni mkristu na nimesoma apo naijua udom kushinda ata wewe kilaza ambae shule imekushinda unaanza tafuta visingizio

Kumbe umesoma UDOM ndio product zenyewe kama wewe ninazoziongelea, Anyway sitaki kubishana na wewe product ya UDOM maana utani-drag down to your level of stupidity and then beat me with your experience, BTW how long have you been with this calibre of stupidity? so that i can assess your experience,
 
-------- wewe ovyo kabisa, unadhani kwa mtu mwenye akili atapenda unavyoshabikia udini acha chuki zako na waislam mbwa wewe mi ni mkristu sikuungi mkono kilaza wewe eti waislam ulitaka ukoo wako ndo wasome apo kilaza wewe
 
Aya ndo yale mavilaza yanafeli yanaanza tafuta visingizio, utasikia lile somo nimekamatwa sabab mwalim ni muislam kumbe lenyewe halisomi kilaza we
 
Alafu jinsi ulivyokilaza hadi leo bado hujui kazi za senet katika chuo ni zipi na external examiner ni zipi kama hilo dogo tu limekushinda we ni kilaza
 
Kumbe Mama Sawa Sawa yupo UDOM? Alikuwa UDSM miaka ya nyuma. Ukileta copy za Dissertation akufanyie vipimo lazima jasho likutoke. Hata ikizidi cm moja umeumia.

Fafanua mkuu! This seems very strange kwa tuliosoma vyuo vya ughaibuni. It is an interesting story to share. Kama vipi wekea thread!
 
ffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffffff
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm
pakkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkkk
yaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
oooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo
nafunga mjadalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tumeshamaliza UE sasa twende nyumbani tukale ugali wa bureeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Samahani....mi sijaelewa huu uzi kimeandikwa nini yani,nimeshindwa kusoma.....msaada wadau inahusu nn hii sredi
 
mkuu pana udini hiki chuo sijapata kuona, ukija ijumaa unaweza ukafikiri upo afghanstani, yaani nahisi kuna wanachuo wanadahiliwa bakwata sio bure

Wew ndo mdini.....utakufikisha pabaya uo ukiuendekeza
 
We kilaza kwelikweli inaonekana huijui udom, halafu nashangaa sana mtu kulaumu wahadhiri wa udom na kuisifia udsm wakati asilimia 70 ya wahadhiri waliopo udom ni product ya udsm kama kulaumiwa basi ilaumiwe udsm kwa kutoa product mbovu ingawa siami

usilaumu kuwa Udsm inatoa product mbovu bali ni uongozi wa ngazi za juu unaosababisha mambo ya chuo cha UDOM kushuka kwa hadhi ya kitaaluma kwa kulinganisha na vyuo vingine,kwanza UDOM siasa nyingi sana upande wa uongozi wa ngazi za juu na pia udini ni ambavyo vinavyopelekea chuo chenu cha Udom kuendeshwa kihuni,sisi huku Udsm tuna uongozi madhubuti wa ngazi za juu,kwahiyo unakuta kila kinaenda vizuri kwa kadiri kilivyopangiwa muda wake,I love Udsm ever.
 
Back
Top Bottom